snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
babu hivi kwanini huna imani na mimi kiasi hiki kwani mbuzi wako si ulishalipwa lakini!Hahahahahahahahah,
Kumbe mlijiunga siku moja??
Jina lako la zamani lilikuwa lipi??
Halafu usome vizuri hiyo post ya mama totooo....na maneno ya babu...sawa ehhhh???
Duuuuuuuuuuuuuuu......umeua marejesho...!!
Hapa wewe mwenyewe umedhihirisha ushuhuda wa babu...kama kuna mtu atakuja kunizulia kesi, basi namleta kwenye hii reference post...!!
Ndiyo maana wenye busara zao walisema enzi zao kuwa "mke mwema hutoka kwa God...."....lol!!
Siyo kila mtu bado anatumia huo msamiati..(blue)...Angekuwa chizi mmoja hapa kama Madame B au Kongosho...hii ilikuwa tayari imeshakuwa ligi ya kutimua nayo hadi December!!...Ila wewe umeyamaliza kwa busara na hekima...
Ubarikiwe sana!!...Naamini hata Smile atakuja kupata tuition kwako...
Huyu Filipo anayo bahati ya mtende haki ya nani...sijue Mungu ampe nini zaidi..
Sina kingine cha kusema...endeleeni kumtukuza Mungu......Amen!!
CC: Wazee/wakubwa wenzangu wote... Asprin, Kaizer, gfsonwin, snowhite (??), Mtambuzi, PakaJimmy (mwenyekiti), @FP, Nyamayao (???) na wadogo/wajukuu zetu wapendwa.. King'asti, MwanajamiiOne, Arushaone, mwanyisi, KOKUTONA, Arabela, Lily Flower,.........!!!
Babu DC!!
BTW yule mtu wetu kila siku nakwambia ana bonge la bingo njoo ulianzishe tena we unasua sua tu !shaurilo!
ngoja Nyamayao aje anitetee manake naona mimi tu ndo nimewekewa kiulizo!lol
Last edited by a moderator: