Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shem achana nae ..nimewakopia wakuu Fang na mpwa wangu Paw watusaidie kufikisha mbele.Hata siwezi kukujibu... Ngoja nikuitie hawa wanaume wahangaike na wewe . PakaJimmy Arushaone Mungi Mzee wa Rula LiverpoolFC Erickb52 Dark City Nicas Mtei Mr Rocky
Mume wangu Filipo wewe sio mwanaume? Embu come kipande hii utumbue jipu....
Hata siwezi kukujibu... Ngoja nikuitie hawa wanaume wahangaike na wewe . PakaJimmy Arushaone Mungi Mzee wa Rula LiverpoolFC Erickb52 Dark City Nicas Mtei Mr Rocky
Mume wangu Filipo wewe sio mwanaume? Embu come kipande hii utumbue jipu....
yani we mpuuzi kweri unawataja wanawake mbona vidume vya humu hujavitaja
Mambo may waifu? hebu harakisha hiyo safari twende
Poa hazibandi umefika kazini salama? ukirudi jioni nitakuambia logistics zote huku hakufai tutafaidisha wengi.
Anakutania huyu, hata siwezi kumuacha!
Maji ya iliki wala siyetaki, kitu anjari inatosha kabisaaa! Smile embu mjibu mwenyewe marejesho.......!
Ha ha ha ha haha.... Namshukuru Filipo kunioa maana ilisaidia watu kujua mimi ni jinsia ya KE.... Ila nadhani kuna wengi walijiuliza huyu mwanaume anaoa mwanaume mwenzake....Vipi tena? Pia na ile avater ya kwanza ya Kinyonga, ilikuwa ngumu kutambua.........
Nilifurahi sana kukuona that day, japo haikuwa siku ya furaha... Nilijua kuna siku nyingine isiyo na jina ningepata nafasi ya kukuona Ukismile kama jina lako, na namshukuru Mungu ilitokea Tanga.............
Huyu Filipo hata sijambana kiviile....Tutamuweka kati achague anataka kwenda wapi maana list nasikia imeongezeka.... Good thing is, sweetlady kajitoa kwenye ligi..
Sasa na wewe, Mwanyasi umemuacha?[/QUOTE Mwanyasi kanikimbia eti sijui kuunga maji ya kuogea na nazi!
Halafu we Smile acha kuwarusha roho wifi zako.....!