SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Toka niko chekechea miaka ya 70's nilikuwa naisikia Liverpool FC ilivyokuwa ikifanya mauaji makubwa, ikinyonga na kuua na kutesa saanaaaa huko UK na the entire Europe.
Hakuna timu iliokuwa ikitaka kukutana na Liverpool popote pale iwe Anfield ama ugenini.
Na ndio maana inaitwa the most successful English Football Club ever based on its past achievements!
18 league titles
5 times EUEFA champions league winners!
Miaka hiyo ilikuwa hakuna cha Man U wala Arsenal. Chelsea ilikuwa si lolote wala chochote.
Toka ilipofungiwa na UEFA kutokana na fujo kule Belgium in 1985-1990 nuksi gani sijui imeingia hapo Liverpool na hadi leo ni kama laana.
I hope the new owners will turn around the fortunes of this mighty football club na tuanze kuuwa tena kama enzi hizo za akina Rush na John Barnes.
Najua wengi wenu mko Arsenal, Chelsea na Man U. kutokana na kuwa exposed na EPL miaka ya 90's na 2000's. esp. baada ya ITV na DTV kuingia mjini.
Lakini kwa waliokuwa wakifuatilia EPL toka 70's na 80's waulize kuhusu "The Kop" na hapna shaka watakiri na kukueleza The Reds walivyokuwa wakitisha!.
It was all Liverpool.
Hata majuzi tu Gary Neville, Ryan Giggs na Sir Alex Ferguson wamekiri walikuwa wakiumia sana enzi hizo wakati Liverpool ilivyokuwa ikiuwa na kuwin kila kitu whether in UK ama Europe!
It's tough to be a Liverpool fan nowadays, lakini who knows.
I'm a Koppite forever, and am sure the past days of glory will be back again at Anfield soon.