Ilikuwaje Ali Kiba na Ommy Dimpoz wakatumia location ya Wasafi kwenye video yao?

Ilikuwaje Ali Kiba na Ommy Dimpoz wakatumia location ya Wasafi kwenye video yao?

Wewe mleta thread unaiaibisha wcb ebu tafuta maarifa kwanza ikiwezekana kasome tuition
 
Baadae utakuja uliza "kwann kiba kafanyia video yake palepale kwa godfather alipofanyia chibu?" Bullshit!!!!
 
Hili swali Dimpoz alishalijibu, alisema wao hawakujua kama ile location ndo ilitumika katika video ya harmonize wamekuja kugundua dakika za mwisho kabisa so ikabidi ili kuleta utofauti wao washuti usiku.
NB:Hiyo location walitafutiwa na director sio wao wenyewe
 
Sio vibaya kumuiga kaka yao lakini location ni hela yako na director wako tu
 
Back
Top Bottom