Huyu golikipa ni mali sana ila sijui ilikuwaje akaondoka Azam ambayo ina fedha ndefu sana. Nilimwona langoni wakati Sudan ikiwaadabisha Nigeria kwenye CHAN 2024 ikiwa ni dhahiri kuwa hayuko Azam tena.
huko mbali unakosema wewe ni wapi ambapo wenzako hawajafika? ulipofika ilikuwaje? wenzio ikawaje?
unawezaje kufika mbali bila kuanzia kwanza karibu?
huko kilungule mnakaa watu wa namna gani haswa?