magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Hajafunguka kuna shida gani. Au hajaona maghorofa?Shida nini kwamba barabara haipitiki hakuna lami au kuna vita maeneo yale au Pana ubaya gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajafunguka kuna shida gani. Au hajaona maghorofa?Shida nini kwamba barabara haipitiki hakuna lami au kuna vita maeneo yale au Pana ubaya gani
sasa ulitaka akajenge wapi unapohisi pana nafuu? mi sioni sehemu ya maana hapo ukimani. kote hakuna mipango miji mizuri, barabara mashimo matupu, mji uko hovyohovyo kila sehemu.Wakuu sio kwa ubaya ila kiukweli nilikua sijawahi kufika chamazi na nilikua na picha nzuri tu kichwani ya maeneo ya huko. Sasa majuzi nikajikuta nimefika kutokana na shughuli zangu kunipeleka huko.
Kiukweli nilijiuliza maswali mengi sana nini kilipelekea Azam kuamua kwenda kujenga uwanja kule ukizingatia kuna michuano ya kimataifa inayofanyikiaga kule na timu mbalimbali toka mataifa ya nje yautumia ule uwanja. Ni aibu kwa mazingira yale kumpeleka mgeni wa aina yoyote aisee hasa njiani mpaka kufika pale ulipo uwanja.
Uwanja wenyewe na mazingira yake ni super ila maeneo yanayozunguka hapo na njia nzima kwakweli ni aibu. Labda uwanja wa KMC pale mwenge utatutoa hii aibu aisee, Chamazi ni sio poa kabisa, maeneo mengine kama Mbezi, Kiluvya hadi kibaha walikosa kabisa? Kigamboni je?
Anyway sitaki kuwakwaza wakazi wa kule ila daaah... Tunajitia aibu hasa kwa wageni, bora mechi zikachezwe hata Zanzibar kuliko Chamazi kuepuka aibu.
mkorofi 😆
Uwanja wa Mkapa mazingira yake unayafahamu vizuri?Wakuu sio kwa ubaya ila kiukweli nilikua sijawahi kufika chamazi na nilikua na picha nzuri tu kichwani ya maeneo ya huko. Sasa majuzi nikajikuta nimefika kutokana na shughuli zangu kunipeleka huko.
Kiukweli nilijiuliza maswali mengi sana nini kilipelekea Azam kuamua kwenda kujenga uwanja kule ukizingatia kuna michuano ya kimataifa inayofanyikiaga kule na timu mbalimbali toka mataifa ya nje yautumia ule uwanja. Ni aibu kwa mazingira yale kumpeleka mgeni wa aina yoyote aisee hasa njiani mpaka kufika pale ulipo uwanja.
Uwanja wenyewe na mazingira yake ni super ila maeneo yanayozunguka hapo na njia nzima kwakweli ni aibu. Labda uwanja wa KMC pale mwenge utatutoa hii aibu aisee, Chamazi ni sio poa kabisa, maeneo mengine kama Mbezi, Kiluvya hadi kibaha walikosa kabisa? Kigamboni je?
Anyway sitaki kuwakwaza wakazi wa kule ila daaah... Tunajitia aibu hasa kwa wageni, bora mechi zikachezwe hata Zanzibar kuliko Chamazi kuepuka aibu.
Tatua matatizo yako kwanza.Wakuu sio kwa ubaya ila kiukweli nilikua sijawahi kufika chamazi na nilikua na picha nzuri tu kichwani ya maeneo ya huko. Sasa majuzi nikajikuta nimefika kutokana na shughuli zangu kunipeleka huko.
Kiukweli nilijiuliza maswali mengi sana nini kilipelekea Azam kuamua kwenda kujenga uwanja kule ukizingatia kuna michuano ya kimataifa inayofanyikiaga kule na timu mbalimbali toka mataifa ya nje yautumia ule uwanja. Ni aibu kwa mazingira yale kumpeleka mgeni wa aina yoyote aisee hasa njiani mpaka kufika pale ulipo uwanja.
Uwanja wenyewe na mazingira yake ni super ila maeneo yanayozunguka hapo na njia nzima kwakweli ni aibu. Labda uwanja wa KMC pale mwenge utatutoa hii aibu aisee, Chamazi ni sio poa kabisa, maeneo mengine kama Mbezi, Kiluvya hadi kibaha walikosa kabisa? Kigamboni je?
Anyway sitaki kuwakwaza wakazi wa kule ila daaah... Tunajitia aibu hasa kwa wageni, bora mechi zikachezwe hata Zanzibar kuliko Chamazi kuepuka aibu.
Sio kwa ubaya..wewe kabila gani? unaweza kuwa mtani wangu.Wakuu sio kwa ubaya ila kiukweli nilikua sijawahi kufika chamazi na nilikua na picha nzuri tu kichwani ya maeneo ya huko. Sasa majuzi nikajikuta nimefika kutokana na shughuli zangu kunipeleka huko.
Kiukweli nilijiuliza maswali mengi sana nini kilipelekea Azam kuamua kwenda kujenga uwanja kule ukizingatia kuna michuano ya kimataifa inayofanyikiaga kule na timu mbalimbali toka mataifa ya nje yautumia ule uwanja. Ni aibu kwa mazingira yale kumpeleka mgeni wa aina yoyote aisee hasa njiani mpaka kufika pale ulipo uwanja.
Uwanja wenyewe na mazingira yake ni super ila maeneo yanayozunguka hapo na njia nzima kwakweli ni aibu. Labda uwanja wa KMC pale mwenge utatutoa hii aibu aisee, Chamazi ni sio poa kabisa, maeneo mengine kama Mbezi, Kiluvya hadi kibaha walikosa kabisa? Kigamboni je?
Anyway sitaki kuwakwaza wakazi wa kule ila daaah... Tunajitia aibu hasa kwa wageni, bora mechi zikachezwe hata Zanzibar kuliko Chamazi kuepuka aibu.
Lile eneo lote pale alipewa bure na serikali.. baada ya kushinda kesi..
Ni kujitanua tu kibiashara kama NATO wanavyo jitanua kuelekea mashariki
Haelewi huyo mwambie akatafute kiwanja au nyumba ya kununua eneo Hilo aone bei yakeNdo kichocheo kizuri cha maendeleo hayo maeneo.