Ilikuwaje Azam wakaenda kujenga uwanja Chamazi? Tunalitia taifa aibu

sasa ulitaka akajenge wapi unapohisi pana nafuu? mi sioni sehemu ya maana hapo ukimani. kote hakuna mipango miji mizuri, barabara mashimo matupu, mji uko hovyohovyo kila sehemu.
 
Reactions: BRN
Uwanja wa Mkapa mazingira yake unayafahamu vizuri?

Vile vijumba jieani na uwanja ambapo hata Al Ahly alipiga picha walipokuja kucheza na Yanga uliviona?

Au wewe ni mgeni Dar?
 
Reactions: BRN
Kwahiyo unafikiri hata ule uwanja wa zamani wa Taifa pale chang'ombe wakati unajengwa palikuwa mjini,watafute wakongwe waliozaliwa miaka hiyo wakupe taarifa ndio uje kuchallenge huku...?
 
Reactions: BRN
Tatua matatizo yako kwanza.
Azam wanaingiza fedha wakati huu kuanzia tarehe 25 mpaka 30 June na waliuchagua huo uwanja wanayafahamu vizuri mazingira yale licha ya ugeni wao kukuzidi wewe mwenye upeo mdogo.

Umejaribu kujiuliza kuhusu gharama za kupata eneo lenye ukubwa sawa na hilo la Chamazi kwa hapo Mwenge lingeligharimu kiasi gani cha fedha?

Vipi kwani eneo lote limejengwa uwanja pekee au kuna reserve kwa ajili ya kuweka hata kiwanja cha kufanyia mazoezi?

Nakuomba uwakataze ndugu zako wasiutumie huo uwanja kwakuwa mazingira walipoujenga siyo rafiki kwako ila Wasudani wao ni mtamu tu.
 
Reactions: BRN
Nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani!
 
Reactions: BRN
Sio kwa ubaya..wewe kabila gani? unaweza kuwa mtani wangu.
 
Lile eneo lote pale alipewa bure na serikali.. baada ya kushinda kesi..

Ni kujitanua tu kibiashara kama NATO wanavyo jitanua kuelekea mashariki

Aah, Chamazi alipewa bure...?

Afu pale Tazara, vile Vinu Vya National Milling Vilienda wapi..? Au navyo alipewa.?
 
Mwalimu Nyerere na waasisi wengine wa Taifa hili wangekuwa na akili za kishenzi kama zako wasingejenga UDSM sehemu ilipo leo. Fikiria enzi za mwalimu maeneo ya Chuo Kikuu yalikuwa yanafananaje kama wanasema Sinza kulikuwa na mashamba ya mpunga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…