Ilikuwaje baada ya kwenda kumuona mtoto wako wa nje?

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
901
Reaction score
3,112
Ilipita kama miezi 10 hivi sijapata muda wa kwenda kumuona mtoto wangu ambaye nimezaa na mtoto wa kitanga

Basi bhana nikapanga safari yangu vizuri. Na nikaaga Kwa wife kwamba naenda Kusalimia mtoto.

Hii ishu ya mtoto wife anaijua. Nilikuwa niondoke jumatano jioni saa 11 hivi ila wife akanigeuka akagoma. Kuna zake aliniazima ananidai kama laki hivi Sasa sharti ni kwamba akasema Ili niende nimlipe kwanza madeni yake.

Basi bhana nikipiga mahesabu mfukoni Nina kama 180 TU ambayo inatosha TU kutoka Arusha Hadi Tanga.

Basi siku hiyo safari ikafa ikabidi niondoke kesho yake mchana hivi nikaenda zangu kupanda gari stendi kuu ya mabasi Arusha saa 8 mchana nikaondoka zangu kuelekea Tanga hapo safari inatakiwa iishie Kijiji au mji unaitwa hale nikatuma nikamtumia mama mtoto kama 20 hivi Ili atoke hapo Kijiji I tukutania hapo hale mama mtu anatokea Kijiji I kinaitwa KWAFUNGO

Basi bhana nikampa mama mtoto majukumu ya kutafuta sehemu ya kufikia kabisa akafanikisha kupata na kulipia kabisa. Muda ya saa4 hivi usiku naingia hale na gari kama sijakosea inaitwa taqeeb.....
 
Maza ake akiolewa ukawa unapewa kwa mafungu utaenda kumuona kweli?
 
Eeh mkuu hii ni ngoma kweli, watoto wa nje ni suala nyeti bana. Mimi niliwahi kufanana na hii, nilikwenda kumuona mtoto wangu baada ya muda mrefu, ilikuwa ni mchanganyiko wa furaha na uchungu. Heshima kwko kwa kupanga safari na kumwambia wife, si kila mtu anaweza kuwa wazi hivyo. Mtoto anakua haraka, usichelewe tena buda.
 
Ilipita kama miezi 10 hivi sijapata muda wa kwenda kumuona mtoto wangu ambaye nimezaa na mtoto wa kitanga

Basi bhana nikapanga safari yangu vizuri. Na nikaaga Kwa wife kwamba naenda Kusalimia mtoto.

Hii ishu ya mtoto wife anaijua. Nilikuwa niondoke jumatano jioni saa 11 hivi ila wife akanigeuka akagoma. Kuna zake aliniazima ananidai kama laki hivi Sasa sharti ni kwamba akasema Ili niende nimlipe kwanza madeni yake.

Basi bhana nikipiga mahesabu mfukoni Nina kama 180 TU ambayo inatosha TU kutoka Arusha Hadi Tanga.

Basi siku hiyo safari ikafa ikabidi niondoke kesho yake mchana hivi nikaenda zangu kupanda gari stendi kuu ya mabasi Arusha saa 8 mchana nikaondoka zangu kuelekea Tanga hapo safari inatakiwa iishie Kijiji au mji unaitwa hale nikatuma nikamtumia mama mtoto kama 20 hivi Ili atoke hapo Kijiji I tukutania hapo hale mama mtu anatokea Kijiji I kinaitwa KWAFUNGO

Basi bhana nikampa mama mtoto majukumu ya kutafuta sehemu ya kufikia kabisa akafanikisha kupata na kulipia kabisa. Muda ya saa4 hivi usiku naingia hale na gari kama sijakosea inaitwa taqeeb.....
Chai
 
Mtoto ni mtoto process za kumpata ni zile zile acha ufala.
Kaeleweka anamaanisha nje ya ndoa, ofcourse sio fair, vipi mfano mkeo akikuletea mtoto ndani ya ndoa, utampokea huyo "mtoto wa ndani". Yani mkeo akipigwa miti in Dudubaya voice, utavumilia?

Jamaa hajamaliza kitu, je mkewe hofu yake ilikuwa sawa, jamaa aliichapa huko Tanga?Angetoa stori kamili
 
Back
Top Bottom