residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Hiyo takataka mkuu,achana nayo. Hawa ndio wanaoshusha hadhi ya JF. Kichwani hamna kitu,wao ni maroboti tu,yamesetiwa kusifu na kuabudu. Wameshatolewa ubongo.Duu ...sijui nikuweke kundi gani ?
View attachment 1545929
Mwanyika former AG ni mpare.Kuna ka ukweli kadogo, japo na wao kina mwanyika ilikuwa ni salama yao. Na hii bila kuficha ilitokana na influence kubwa aliyo kuwa nao Mwanyika The Attoney General . Tupo pamoja Mkuu. Ukitoa comment / uzi / Habari ikinyooka I will always give you a pat on your back.
Kaiweka ccm mfukoni..... Manunuzi ya ndege na ujenzi wa chato mkuu ni skendo chafu sn just wait n see......Sio kweli bwana, ccm chama kisafi sana na hakuna mfano wake duniani.
Niambie Magufuli alimpa nani rushwa ili apitishwe na ccm kugombea uongozi wa vyombo vya dola
Magufuli msafi sana. Nyie mnasafisha tuKaiweka ccm mfukoni..... Manunuzi ya ndege na ujenzi wa chato mkuu ni skendo chafu sn just wait n see......
Ile 1.5trn iliyopotea ni ufisadi mkubwa kuliko ufisadi wa awamu zote zilizopita ukiuweka pamoja
Deo yupo Makambako DogoYule wa Njombe mjini nadhani ni DEO SANGA na sio huyo Mwanyika
Hilo sawa Ila Sheria itamtambua Kama mkosaji Kama hujakosa huwezi lipa,,Wengi hulipa pesa watoke jela hata kama hawana makosa imekuwa ni biashara sasa
vita dhidi ya ufisadi nchini ni usanii!.
Umesahau tuliambiwa kuwa Andengenye Amesaini mkataba wa kifisadi wa matriolini ya hela, leo yuko wapi?, badala ya kuwa jela sasa hivi ni mkuu wa mkoa wa kigoma!
Namfahamu Deo toka akiwa mdogo, tumesoma nae, kwa kifupi ni mwanasheria nguli, na ni debater mzuri sana toka akiwa shule ya msingi ,sekondari, chuo kikuu lakini pamoja na ukwasi alionao na madraka aliyonayo ni mtu poa sana hasau kwa mtu ambaye anamfahamu si ajabu wana Njombe wanamkubali, Deo hajui shida au njaa toka utoto wake, baba yake mzee Mwanyika alikuwa mwalimu mkuu,mwalimu chuo cha ualimu na wote tunajua waalimu wa miaka ya 70 walivyokuwa na hadhi na uwezo na maadili mema, na ndivyo alivyo Deo, humsikia akipaza sauti lakini ni mtu makini sana. jamaa ana kipaji.Personally namfahamu Deo, sijui huko kwenye makashfa ya Acacia Kama Kuna ukweli au lah, Ila ni mmoja wa watu nilio enjoy nao kufanya kazi nae, ana utu na ana vinasaba vyote vya kutosha kua kiongozi, nimefurahi kuona anasimama Njombe, na ni mtu anaekubalika mno, Hilo Jimbo tayari Deo ni mbunge,
Namuombea mafanikio awe sehemu ya mawaziri endapo ccm watachukua nchi.