wewe unayeelewa timiza wajibu wa kuwaelewesha wasioelewa. otherwise acha porojo.Kama hujui international procurement procedure omba msaada wakueleweshe Kuna kitu kinaitwa Letter of credit, bill of landing, bank guarantee, ukivielewa hivyo hautauliza Hilo swali
Katiba yetu inampa mamlaka Rais ya kufanya chochote haijalishi kitakuwa kizuri au kibaya ukiwa Rais Tanzania unanguvu kama miungu na uko juu ya sherianaapa nitaitumikia jmt kwa moyo wangu wote nitairinda na kuitetea katiba ya jmt
na pia nitahakikisha nawamaliza wachagga wote serikalini na kuwaingiza wasu.kumma
kwakua hii ni zamu yao ee mwenyezi nisaidie
Katiba Mpyaa ni muhimu Sana. Watz tumechezewa mno kupitia kwa Viongozi Miungu Watu.Katiba yetu inampa mamlaka Rais ya kufanya chochote haijalishi kitakuwa kizuri au kibaya ukiwa Rais Tanzania unanguvu kama miungu na uko juu ya sheria
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndio mnataka kuleta taharuki kwa umma kwa uongo wenuwewe unayeelewa timiza wajibu wa kuwaelewesha wasioelewa. otherwise acha porojo.
Kutetea jambo kama hili ni sawa na kumtetea mkeo uliyemfumania chumbani na jamaa kwa vile unampenda tuuMbona unaleta taarifa huku unatetemeka!!
Yaani nikimkuta mtu anamuita Mkirindi mpumbavu siwezi kushangaaHivo nyie wanasiasa mchwara wa Chadema, hamkulijua hili siku zote, na hata hamkuisoma ripoti ya CAG, mpaka Mwami Zitto aisome na aifanyie translation kwa ile lugha ya Chekechea mnaoyoimudu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nawahurumia sana Jeneth na Jesca watakapo jikuta wanatoka kwenye utukufu na kupanga foleni ya kumuona mume na baba pale Segerea siku za jumamosiHuyu rais ni fisadi mwizi anayejigicha kwenye kichaka cha uzalendo fake
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]#Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka
Kama hujui international procurement procedure omba msaada wakueleweshe Kuna kitu kinaitwa Letter of credit, bill of landing, bank guarantee, ukivielewa hivyo hautauliza Hilo swali
Rais wa Tanzania hata akitaka aabudiwe hakuna wa kumpingaKatiba Mpyaa ni muhimu Sana. Watz tumechezewa mno kupitia kwa Viongozi Miungu Watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28] mbona unaongea kwa kutema mate..jibu hoja ewe jiziHivo nyie wanasiasa mchwara wa Chadema, hamkulijua hili siku zote, na hata hamkuisoma ripoti ya CAG, mpaka Mwami Zitto aisome na aifanyie translation kwa ile lugha ya Chekechea mnaoyoimudu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hizo tuhuma ni za Zitto au CAG?Namshauri Mhe. Waziri wa Fedha amjibu Mhe. Zitto kwa tuhuma zake zisizo na mashiko.
Au Mjomba wake aje apande mahakamani kumtetea,kama vile alivyofanya Mkapa kupanda kizimbani kumtetea Prof. Mahalu.Doto ajiandae kwenye kunyea debe siku mjomba akiachia ile nafasi
Manina kasome uchambuzi wakafulila kwanzaWewe ni fala kweli, ina maana wewe unajua kuliko CAG aliye hoji katika ripoti yake? Mbona mnajidhalilisha namna hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
ofisi zake.huzijuiNamshauri Mhe. Waziri wa Fedha amjibu Mhe. Zitto kwa tuhuma zake zisizo na mashiko.
elezea umma wa watanzania, taratibu za manunuzi kuanzia mwanzo hadi mwisho kwa maelezo yakinifu with vivid examplesTuhuma zipi? Zitto anajua taratibu za manunuzi, Ila anaitaka kuzuga watu,
Maneno meeengi,ndio tatizo la wasomi wetu wa jalalani hao akiona kimeulizwa kitu konki yeye anachofanya ni kujibu kwa kuweka 'ka lugha ka kiingereza' hapo anajiona mjaaaaaaaaaanja.Kama hujui international procurement procedure omba msaada wakueleweshe Kuna kitu kinaitwa Letter of credit, bill of landing, bank guarantee, ukivielewa hivyo hautauliza Hilo swali
I wish you could have time to explain for the blind to seeKama hujui international procurement procedure omba msaada wakueleweshe Kuna kitu kinaitwa Letter of credit, bill of landing, bank guarantee, ukivielewa hivyo hautauliza Hilo swali