BILL OF LANDING maana yake ni nini?Kama hujui international procurement procedure omba msaada wakueleweshe Kuna kitu kinaitwa Letter of credit, bill of landing, bank guarantee, ukivielewa hivyo hautauliza Hilo swali
Wakileta ujinga wanaweza kujikuta katiba inawekwa kushoto halafu wote wanapelekwa kunyea debeAu Mjomba wake aje apande mahakamani kumtetea,kama vile alivyofanya Mkapa kupanda kizimbani kumtetea Prof. Mahalu.
Atakachokifanya anko wake ni kuhakikisha anamuachia madaraka mtu atakayemtii kwa 100% lkn pia hio sio strategy nzuri maana yanaweza kumkuta ya Chiluba vs Mwanawasa au ya Dos Santos na mrithi wake.Wakileta ujinga wanaweza kujikuta katiba inawekwa kushoto halafu wote wanapelekwa kunyea debe
What i know is life can always change, we just gotta adjustAtakachokifanya anko wake ni kuhakikisha anamuachia madaraka mtu atakayemtii kwa 100% lkn pia hio sio strategy nzuri maana yanaweza kumkuta ya Chiluba vs Mwanawasa au ya Dos Santos na mrithi wake.
Hii ni tuhuma nzito sana na imetolewa na mwanasiasa mmoja machachari katika kuibua tuhuma na kwakweli imeaniacha hoi!
Eti fedha zimetolewa benki kubwa na kuhamishiwa akaunti nyingine kabla ya kulipwa kwa kampuni inayotengeneza ndege!!!
Tunasubiri majibu/ufafanuzi kutoka kwa wahusika kwani tuhuma hii si ya kupuuza..
Wako likizo kusubiria uchaguzi upite kwanzakwani watekaji wamekwisha ?
Tutamuuliza katoa wapi hali hawana historia ya utajiri?Nionavyo mimi usijekuta ndege zote zimenunuliwa kwa fedha binafsi, kuna siku atasema ni mali binafsi na ATCL ilikodi tu kwake!!!
Vinginevyo utekwe au upotezweMayala maana yake ni njaa! Sasa upo mhimili uliojichimbia chini zaidi na HURUHUSIWI kuhoji yanayofanywa na huo mhimili.
Msamehe bure alikiwa na maana ya Bill of lading 🤣 ✌BILL OF LANDING maana yake ni nini?
Hii sala imetendewa haki Kimara ndio lango la wachaga la kuingilia mjini kabla awajasambaa maeneo mengine.Wale wa mwanza awakubomolewa sababu ni wapiga kura,msukuma aliyesaulika ni Pasco tu sababu ya kuhoji swali kule kwenye zoo ndogonaapa nitaitumikia jmt kwa moyo wangu wote nitairinda na kuitetea katiba ya jmt
na pia nitahakikisha nawamaliza wachagga wote serikalini na kuwaingiza wasu.kumma
kwakua hii ni zamu yao ee mwenyezi nisaidie
Hahah nikajua mimi ndio nina kichwa kigumu mkuu.Msamehe bure alikiwa na maana ya Bill of lading [emoji1787] [emoji111]
Anaogopa wasiojulikanaMbona unaleta taarifa huku unatetemeka!!
Ndugu yangu Rais wa nchi hatukanwi huwa anaombewa. Unajitafutia laana wewe pamoja na uzao wako. Utakaposhikwa na wasiojulikana husije ukajuta umejitafutia mwenyewe.Huyu rais ni fisadi mwizi anayejigicha kwenye kichaka cha uzalendo fake
Kama katiba ilitopo haiheshimiwi, hata mpya haitafuatwa.Katiba Mpyaa ni muhimu Sana. Watz tumechezewa mno kupitia kwa Viongozi Miungu Watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kuliita koleo kijiko kikubwa, rais si MunguuNdugu yangu Rais wa nchi hatukanwi huwa anaombewa. Unajitafutia laana wewe pamoja na uzao wako. Utakaposhikwa na wasiojulikana husije ukajuta umejitafutia mwenyewe.
Mbona hata yeye kawageuka vibaya walio mtangulia na anawakejeli hadharani alicho shindwa ni kuwaweka ndani kwakuwa naye alishiriki moja kwa mojaAtakachokifanya anko wake ni kuhakikisha anamuachia madaraka mtu atakayemtii kwa 100% lkn pia hio sio strategy nzuri maana yanaweza kumkuta ya Chiluba vs Mwanawasa au ya Dos Santos na mrithi wake.
😂 Yaani kuna ujinga sana humu.BILL OF LANDING maana yake ni nini?
Bado nakuita fala. Kafulila katoa uchambuzi au utetezi?Manina kasome uchambuzi wakafulila kwanza
Hivo nyie wanasiasa mchwara wa Chadema, hamkulijua hili siku zote, na hata hamkuisoma ripoti ya CAG, mpaka Mwami Zitto aisome na aifanyie translation kwa ile lugha ya Chekechea mnaoyoimudu.
Sent using Jamii Forums mobile app