Ilikuwaje Jeshi la Polisi nchini likamvumulia "gaidi" Mbowe bila kumkamata tokea mwaka Jana walipogundua njama zake za ugaidi?

Nakuunga mkono. Unakumbuka hata Kambona alipanga uhaini japo alikuwa serikali tena waziri. Mbowe kuwa mwanasiasa haina maana hawezi fanya makosa. kama ulivoshauri ni kweli tusubiri ushahidi mahakamani kila kitu kitakuwa wazi.
Hivi nyie ndo mlikuwa mnasema Mdude ni muuza madawa ya kulevya au siyo nyie? Acheni kubambikizia wananchi kesi zisizo na kichwa
 
Na tayari ameshaharibu!!na atakuwa na uongozi mgumu sana, kwani huku unataka kurudisha imani kwa wawekezaji/wafadhiri huku unaibua vioja tena, kama vya meko!!ukiangalia hata teuzi zake ni kama zile za sandakalawe tu bila kuzingatia uwezo wa watu!!!
Refer teuzi zake za majuzi za ma-DED, kwa kuwateua vibinti vidogo kabisa vya UV- CCM, visivyokuwa na uzoefu wowote ule
 
Anasemaje huyo mtabiri?

Na sisi tupe faida ambao hatujamsikia
 
Nadhani mimi mama sikumukuelewa wakati anasema anatibu majeraha..!! Hivi alisema anayatibu hayo majeraha ILI AANZISHE YA KWAKE?
 
Reactions: G4N
tupo kujadili namna yakuipiga chenga mahakama

tuna withdraw hatunahaja yakuendelea na kesi ,simpo
 
Hapa waungeunge Na ushahidi WA mwigulu aliyewahi SEMA anao ushahidi duniani Na mbinguni,naona wanavyojipaka kinyesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…