luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Kila mdau wa clab cha Yanga anashangilia hatua kubwa club yao iliyofikia hapo jana kwa kuingia makundi katika mashindano ya CAF CC.
Kuanzia Rais wa club anashangilia mpaka mla miogo wa Chanika ana shangilia .....ila aliwahi kutokea Msemaji wao mmoja aliye toa mameno ya kudhihaki mashindano hayo ya CAF tena ndani ya ofisi za mwezeshaji wa kilabu hicho akathubutu kuiita mashindano hayo ni ya walio shindwa.
Hakika limebaki kuwa jambo ambalo ni AIBU kwa watu wa kilabu hiki kukataa kushiriki mashindano wliyo yaita ni ya walio shindwa.
Hongereni mashabiki wa kilabu kilicho shindwa