Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Sasa Ismail Aden Rage unamlinganisha na Haji Manara! Angekuwa ni kichwa maji, angefikia hatua ya kuwa Mwenyekiti wa timu yenu? Tena Mwenyekiti aliyechaguliwa kwa kura!!Na mazwazwa wa Yanga mnamtukuza sana Ismail Aden Rage hasa wewe, jina lake halikauki akilini mwako.
Na kwa kitendo chake cha kuwaita mbumbumbu baadhi ya mashabiki, ukiwemo wewe! Kwangu mimi naamini alikuwa sahihi kabisa.