luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Yanga wanashangilia kumfunga mwarabu kwao tena sio ushindi wa penalty Bali Pira kubwa walilopigiwa wale mbururaKila mdau wa clab cha Yanga ana shangilia hatua kubwa club yao iliyo.fikia hapo jana kwa kuingia makundi katika mashindano ya CAF CC
Kwan ilikuwa ni mashindano ya kirafiki au kombe la looser ? Weka sawa hapo huyo mwarabu ulikutana naye ukamfunga mlikuwa mnagombea kushiriki mashimdano gan ?Yanga wanashangilia kumfunga mwarabu kwao tena sio ushindi wa penalty Bali Pira kubwa walilopigiwa wale mburura
Huwa sijibu maswali ya kitoto kama hiliKwan ilikuwa ni mashindano ya kirafiki au kombe la looser ? Weka sawa hapo huyo mwarabu ulikutana naye ukamfunga mlikuwa mnagombea kushiriki mashimdano gan ?
LooserUnataka iende timu ya shangazi zako au , Mfate Manara muambie hizo habari sio Wananchi,imekukera sana Yanga kufuzu group stage
Yani LOOSER aliyekufunga amemfunga LOOSER wa kiarabu..!! Ukijiona unafungwa na LOOSER ujuwe wewe ni wa chini ya chini ya LOOSERKwan ilikuwa ni mashindano ya kirafiki au kombe la looser ? Weka sawa hapo huyo mwarabu ulikutana naye ukamfunga mlikuwa mnagombea kushiriki mashimdano gan ?
Ni kama wao walivyofika huko wanakojivuania leo, ni baada ya kucheza ligi ya nyumbaniKombe la Shirikisho halina hadhi ya Yanga, ila wakati tunatafuta namna ya kucheza Ligi ya Mabingwa lazima tupate uzoefu wa namna ya kucheza izo mechi.
Uku Shirikisho iwe sehemu ya Shamba darasa tunakwenda kucheza kama sehemu ya kujifunza uku tukiwa tunaimarisha timu na kuongeza uzoefu. Timu iko vizuri ila namna ya kupata matokeo kwenye michuano ya Caf ni zaidi ya kuwa na Timu Bora.
Kuna upuuzi mwingi ambao inabidi tujifunze Ili tupate matokeo mazuri si mpira pekeyake.
Kuna mwenyekiti RAGE alisema Simba ni MBUMBUMBU huku akiwa mwenyekiti wenu..!!!!Msemaji hovyo .....
ALISEMA yanga wenye akili ni wawili tu Mzee KIKWETE na Mzee Manara tu.
So kila anacho kisema Manara mna kibeba kama sheria? kwenu Manara ni mtu wa maana saana?Kila mdau wa clab cha Yanga ana shangilia hatua kubwa club yao iliyo.fikia hapo jana kwa kuingia makundi katika mashindano ya CAF CC ...
Kuanzia Rais wa club ana dhangilia mpaka mla miogo wa Chanika ana shangilia .....ila aliwahi kutokea Msemaji wao mmoja aliye toa mameno ya kudhihaki mashindano hayo ya CAF tena ndani ya ofisi za mwezeshaji wa kilabu hicho akathubutu kuiita mashindano hayo ni ya walio shindwa .....
Hakika limebaki kuwa jambo ambalo ni AIBU kwa watu wa kilabu hiki kukataa kushiriki mashindano wliyo yaita ni ya walio shindwa ......
Hongereni mashabiki wa kilabu kilicho shindwa
Mashabiki wa simba mnamtukuza sana Haji Manara.Ogopa sana Mungu na teknolojiaView attachment 2412452
Na mazwazwa wa Yanga mnamtukuza sana Ismail Aden Rage hasa wewe, jina lake halikauki akilini mwako.Mashabiki wa simba mnamtukuza sana Haji Manara.
Huwa sijibu maswali ya kitoto kama hili
SawaHilo siyo swali la kitoto. Ni swali halisi kabisa kwa kufuata rejea ya mropokaji wenu. Leo Yanga wanakula matapishi yao. Ni mashindano ya Walioshindwa, waliofeli yaani Failures, Loosers!
Kumbe bado mnajifunza?na mnavyojitutumua kwamba nyinyi ni timu kubwaKombe la Shirikisho halina hadhi ya Yanga, ila wakati tunatafuta namna ya kucheza Ligi ya Mabingwa lazima tupate uzoefu wa namna ya kucheza izo mechi.
Uku Shirikisho iwe sehemu ya Shamba darasa tunakwenda kucheza kama sehemu ya kujifunza uku tukiwa tunaimarisha timu na kuongeza uzoefu. Timu iko vizuri ila namna ya kupata matokeo kwenye michuano ya Caf ni zaidi ya kuwa na Timu Bora.
Kuna upuuzi mwingi ambao inabidi tujifunze Ili tupate matokeo mazuri si mpira pekeyake.