Ilikuwaje mkaiita mashindano ya walioshindwa na leo mnashangilia kushiriki mashindano hayo?

Hv mbna mnadharau sana QT???sasa nikwambie wapo waliopita hiyo njia na wakafanikiwa kielimu na kimaisha pia.Acha kukariri maisha bwashee
Hapo kuna mambo mawili, Akili huna au Huna akili...

Unamdharau vipi mtu aliyefaulu PhD wakati wewe unapambana kurisiti pepa la QT!!!!!

NCHI INA WATU WA HOVYO SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…