Kuchwizzy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 1,193
- 2,599
Jibu jepesi ni hili,bila kwenda kwenye technical details zozote
Asilimia kubwa ya "celestial objects" kama sayari na nyota huwa zina "assume" spherical shapes kwa sababu ya "Gravitation"
Gravitation INA sifa ya kuvuta kitu "towards the center" na katika kila possible directions
So hivi vitu vinavyovutwa towards the "center" na "from all possible directions" zina form "spherical shape" na ndiyo maana sayari nyingi zimechukua umbo la tufe
Kama hayo maelezo yangu juu bado yanachanganya
Imagine hivi
Una ma billions ya vijiwe vidogo vidogo sana au goroli ambavyo vimetapakaa ina all possible directions (juu,chini,kushoto,kulia,etc)
Na ghafla vyote vikaanza kuvutwa na nguvu inayovilazimisha kuja katikati
Unahisi umbo ipi hivyo vijiwe au goroli vitatengeneza baada ya kuvutwa na kushikamana pamoja?
Tufe!