Ilikuwaje siku uliyofumania/ uliyofumaniwa?

Nilifumaniwa online.. haikuwa na nguvu sana ila nilibaki na butwaa yule jamaa aliyenifumania kuanza kuanza kulia kwa sauti huku akibubujikwa na majozi… shame

Nilikipata kidem kizuri kama maskhara hiv, dada angu mtoto wa shangazi, alikuwa na ako ka dem home na kunitania kaka nimekuletea mchumba

Nilitabasam tu, sasa sijui kama walikuwa seriously, sikukitongoza na tukapoteana kama mwaka hivi kuja kukutana kakaniita mchumba angu mambo… weeeh khaaa

Nikarespond good, tukabadilishana namba, sim nyingi mara kakajitongozesha nikawa najipigia kumbe mtoto ana bwanah ake anamgharamia vitu vya hapa na palee

Mwisho wa siku nikashtuka nikamuuliza nimetembea na wew bila kukuuliza kama upo kwenye mahusiano, akawa anapotezea kujibu, mara yupo ila tumegombana mara subir ipo siku nitakwambia

Mimi nikawa nanyoosha tu… iyo siku sijui wamepatana na mchiz wake kaenda kwake, jamaa akafumania sms za nyuchi mtoto alizikuwa ananitumia daaah nomaa, jamaa akaniendea hewani

Anashindwa kuongea analia tu, baadae akanambia kama namgongea, nikajua dem atakuwa kalala yeye kashika sim ya dem

Nikamletea drama nikamuomba msamaha ili asije akamdhuru demu bure, nikamwambia usimpige makosa ni yangu, alaf nikamsifia kuwa dem mzuri hivyo mzee haujaoa kwan mm angekuwa ameolewa nisingemgusa wala kumsumbua kumtaka.. ila jamaa alilia sana na kunambia gharama anazonuhudumia

Baada ya mwezi dem akanitafuta akaniomba msamaha ila kanambia tusiendelee nikamjibu poa hamna tabu

Wiki tu akaanza kunitafuta kuomba nikamchape nao, khaaa nikawa nakula mzigo kama kawa, huku namlaumu kuwa angenambia kama ana mtu mimi nisingekuwa namtafuta nyakati za usiku

Hawa wanawake tuishini nao kiakili sana
 
Mwenyekiti acha aitwe mwenyekiti, alitumia akili sana kumnufaisha mwenye mke ingawa wewe uliona kama anakubeba, kwani wadhani haelewi wepesi wa kesi hizo?

Ugoni si kesi ya Polisi ile, yale ni madai yanayotakiwa kupelekwa mahakamani moja kwa moja.

Ungelipelekwa Polisi mambo yangelivurugika, wanufaika wangelikuwa ni Polisi, usingeweza kutozwa kifuta jasho chote hicho bila uthibitisho wowote wa kidaktari na ushahidi wenye mashiko.

Kifupi, kesi ya ugoni ni nyepesi sana mahakamani kuliko watu wengi wanavyodhania.

Maana ungelikuwa umeoa, mkeo katika kukusaidia, naye angeliibuka kiulaini kwenye mtego ulionasa na kuja kumshika ugoni huyo mke wa jamaa uliyezini naye kwa madai ya kutembea na mumewe, ngoma draw.

Tena mkeo ushahidi wake ungekuwa ni mrahisi kutokana na uthibitisho usiotia shaka wa wewe mumewe unapokuwa umepatikana na hatia hiyo.

Kama umetozwa mil. 2.5, yeye angelidai hata mil. 5 fidia.

Sema nini, jambo lenyewe ni la fedheha sana, hasa kisaikolojia.

Enhe, tuletee huo mkasa wa pili ili tuconclude pamoja mwishoni halafu tukupe mbinu na maujanja.

Unajua ni kwanini Osama walipata tabu sana kumpata ili kumwangamiza?

Halafu nakushangaa eti mpaka leo haujui nini kilisababisha mumewe afahamu, real!
 
Sijafaham mkuu.. inaweza kuwa alijuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…