Ilikuwaje siku uliyofumania/ uliyofumaniwa?

niliwahi fumania kwa mtu niliyekua nampenda sana siku hio nikasema ngoja nishike ng'ora nione kama nina mshindani nilichokikuta mpaka leo my trust has been shaken sijui kama ntakuja kuamini jinsia ke
😄😄
 
Tulikuwa tunaishi na kaka, siku moja kasafiri nikajua hapa nimepata nafasi nikavusha kumbe kafika huko kaghairi safari karudi. Ile bado mechi inaendelea nikasikia hodii aisee! kilichofuata ni aibu!
 
Tulikuwa tunaishi na kaka, siku moja kasafiri nikajua hapa nimepata nafasi nikavusha kumbe kafika huko kaghairi safari karudi. Ile bado mechi inaendelea nikasikia hodii aisee! kilichofuata ni aibu!
Mlikua mnakaa chumba kimoja?
 
Tunasubir code zako
 
Yaan jamaa anakula mke wa brother yake halafu anafuraahia kabisa aisee
inaskitisha sana yani ndugu yako ukute unamwamini 97% + then akufanyie hivyo. anamuumiza bro, anafanya maamuzi magumu yanayomuumiza pia, yani uyo hatakaa aaminiwe na kaka yake milele, uaminifu huboresha mahusiano mazur..............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…