Una stress sana! Haya turudi kwenye mada, niambie ilikuwaje siku uliyofumaniwa!Unajua Papa ni samaki au ni nini au wewe Papa unajua ni mdudu gani? Sasa unaniulizaje fisi hua anacheka nini ushawahi kupiga nae story akakueleza anachocheka? Labda uniambie wewe fisi hua unachekaga nini?
[emoji23][emoji23][emoji23]Siku hizi hakuna ugoni, ukidakwa unamalizana na aliekukamata.
Mambo ya kuanzisha kesi za ugoni halafu unalipwa laki tano, hayapo siku hizi. [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]Kila nikikumbuka kukimbizwa na kadudu kananing'inia na sijavaa chochote naishiwa nguvu kabisa aisee .
Ilikua vurugu tu kikubwa mwanamke hua ana deal na mwanamke mwenzie nilibaki kuangalia show tu wakakunjana mimi nikawa refa kuamua ugomvi wao wa kugombea nyama ikawa hivyo au umeshasahau?Una stress sana! Haya turudi kwenye mada, niambie ilikuwaje siku uliyofumaniwa!
Pole sana kwa wake wenza mimi huwa nina deal perpendicularly na anayenihusu tu!Ilikua vurugu tu kikubwa mwanamke hua ana deal na mwanamke mwenzie nilibaki kuangalia show tu wakakunjana mimi nikawa refa kuamua ugomvi wao wa kugombea nyama ikawa hivyo au umeshasahau?
Hahaha wewe una deal na nini sasa?Pole sana kwa wake wenza mimi huwa nina deal perpendicularly na anayenihusu tu!View attachment 3589117
Picha inajieleza!Hahaha wewe una deal na nini sasa?
Hapo kwenye picha ukija kwenye uhalisia unakua shilole mbele ya uchebePicha inajieleza!
Yule aliendekeza mapenzi tu unamtandika vizuri tu ukiwa serious!Hapo kwenye picha ukija kwenye uhalisia unakua shilole mbele ya uchebe
Hayajakukuta ndio maana unasema unanifuma ukinirushia ngumi nakuosha nawewe nakuunganisha na mke mwenzio nawachalaza fimbo mkiwa pamojaYule aliendekeza mapenzi tu unamtandika vizuri tu ukiwa serious!
Kwanza mpaka mnaanza kupigana inakuwaje yani? Kama humwelewi mtu muache kiroho safi! Hakuna haja ya kuletea zasheni wakati kuna maisha mengine tu hata msipokuwa pamoja!Hayajakukuta ndio maana unasema unanifuma ukinirushia ngumi nakuosha nawewe nakuunganisha na mke mwenzio nawachalaza fimbo mkiwa pamoja
Umenikumbusha kisa kimoja ngoja nikusimulie. Ipo hivi kuna mwamba mmoja alikua na manzi mzuri tu walikua wanafanya kazi sehemu moja na walikua wanaishi ile sogea tuishi kwa hio wanaenda kazini pamoja wanarudi pamoja sababu wanafanya kazi pamoja, kuna kipindi jamaa akahamishwa sehemu ya kazi akahamishiwa sehemu nyingine na akapanda cheo kule alipohamishiwa akawa boss wa ofisi, basi huku na huku wakapata mtoto wa kwanza, wakaendelea kulea mtoto mpaka kakua kaanza shule kumbuka mwamba hajamuoa manzi ila wanaishi pamoja, manzi akaanizisha mgomo baridi anamwambia jamaa km hujanioa na unafanya tendo na mimi kuanzia leo tendo na wewe sitaki kwa hio utajua mwenyewe pa kwenda kupata tendo, kumbuka hapo wanaishi pamoja. Jamaa akasema sawa haina shida si unataka nifanye ninavyoona mimi, akaanza kuchukua vidampa anakuja analala navyo mulemule anapolala na hio manzi anavikamua vizuri safi na manzi hafanyi kitu chochote. Wakaendelea hivyo mpaka jamaa akamtia mimba kidampa mwingine kisha akamwambia manzi kuna kidampa fulani tayari nishamtia mimba. Hapo ndipo manzi akawasha taa nyekundu akaona hapa naenda kuharibu. Akamwambia mwamba sikia km vipi nini yaishe miaka inaenda nipe mimba nyingine tuishi yaliyotokea yameshatokea. Ndipo mwamba akaona sio kesi akamuoa kabisa wakapata mtoto mwingine wa pili. Sasa hivi ni mke na mume kabisa. Kwa hio haya mambo sio mpaka kukunjiana ngumi asee masuala ya kupasuana hayana issue ila basi. Story imeishia hapo.
Shida ni hapo chini ndio panakua na shida halafu unajua ile mkigombana damu zikachemka then mkafanya kale kamchezo unajua inakuaje au hujawahi kumtibua tu jamaa halafu baada ya kutibuka ukampa mechi ya mchangani ni zaidi ya kupiga mangumi unatembea moto wa volcano tuKwanza mpaka mnaanza kupigana inakuwaje yani? Kama humwelewi mtu muache kiroho safi! Hakuna haja ya kuletea zasheni wakati kuna maisha mengine tu hata msipokuwa pamoja!
Wewe umewahi kufumania mara ngapi?Hakuna mtu aliewahi kufumania mke wake akiliwa?
Kila siku namfumania Mia Khalifa. Sema nishazoea.Wewe umewahi kufumania mara ngapi?
HeeeShida ni hapo chini ndio panakua na shida halafu unajua ile mkigombana damu zikachemka then mkafanya kale kamchezo unajua inakuaje au hujawahi kumtibua tu jamaa halafu baada ya kutibuka ukampa mechi ya mchangani ni zaidi ya kupiga mangumi unatembea moto wa volcano tu
Hiyo kitu kwenye avatar ukiipiga unalima shamba ekari kwa siku moja sembuse kusoma haahaaNifanyie wepesi mkuu
Kweli kabisa😆Hiyo kitu kwenye avatar ukiipiga unalima shamba ekari kwa siku moja sembuse kusoma haahaa
inategemea na nyota yako.kama nyota yako mbaya unaweza kuuliwa au kudhalilishwa hadharani kwa kuletewa mabaunsa wakushughulikie na wewe nyuma huku wanashuti video au ukatenguliwa kiungo kimoja cha mwili..jamaa alibahatika.Story yako imenifunza, bila milion 2.3 sitakiwi kumsogelea mke wa mtu.
Nani atathubutu kusema hapa 😂Hakuna mtu aliewahi kufumania mke wake akiliwa?