Ilikuwaje ukaanza kunywa pombe?

mwakavuta

Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
99
Reaction score
306
Haki ya Mungu aliyetengeneza hiki kinywaji simlaumu. Mimi nimeanza kunywa pombe nikiwa form two, uchaga umenikaa kwelikweli, pamoja na kuniletea majanga lakini sifikirii kuacha.

Nakumbuka siku ya kwanza kunywa pombe nilinunuliwa viroba viwili na rafiki yangu chanzo kilikuwa ni mashindano ya kunywa mara moja bila kukunya sure[emoji2][emoji2] nilivikata wakaniwekea heshima kwa kujifanya mwamba nikataka na fegi, Kudadeki nilikata sm kama sina akili poa hadi naondoa eneo la tukio nimekata pakti.

Kuanzia apo nimekuwa nakunywa kisela nilipumzika kidogo nikiwa advance na chuo mwaka wa kwanza ulokole ulikolea saiv nimerudi kundini nakata maji kama kawa.

Pamoja na visanga vya pombe sijutii kunywa pombe kudadeki, Hapa naandika huu uzi namalizi kukata double kick ya pili nikalale.
 
Mkuu,unaandika uzi uko wimbi lakini hukosea kuandika aisee.mimi nlianzaga kumalizia mabaki ya bro,aliyokuw anaacha nakumbuka ilikuw form two.nikaanza kuongeza kiwango, kwa kuiba nzima alizobakiza zikawa hazinikolei mwisho nikaingia kitaa kuzitafuta. Hadi namaliza chuo nlikuw pampula wa hii ambiance. But now nacheza nayo kwa akili coz majukumu kibao na umri wake wa kuyafanya Ni Sasa.
 
Sijawahi kulamba pombe sio kunywa,sijawahi kuvuta pafu moja la bangi au sigara..

Nimekaa na watu wa hivo ila ile hisia yakuwa out of cotrol kwakweli siiwezi kwamba nianze kutapika kutukana watu ovyo halafu kesho yake naulizwa sina majibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila juice baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787].Nina blender la kuchanganya na maji nina blend la kutoa pure juice bila kuchanganya na kitu.Uwaga nakurupuka tu naweza tengeza juice ya pure tango au pure hoho,karoti yaani nikijisikia tu napigaga tunda lolote nione ladha yake..

Nilivyokuwa naanza maisha nilinunua blender kabla ya vitu vingi sana.Napata kazi tu kitanda,godoro ,sofa,blender,dry cleaner.Nilinunua blender nikasahau vijiko[emoji846][emoji846][emoji846].Baadae ndo nikaona sebule imedoda
 
[emoji1787][emoji1787] Mkuu nimeandika na kuproof read vya kutosha.
Hii kitu nimekunywa baada ya kupumzika kama mwezi ivi
 
juice ya hoho ikoje mkuu?
 
Siku ya Kwanza kunywa Pombe nilipiga mzinga mzima wa konyagi, kesho yake nikaambiwa nizimue, nikaupiga tena mwingine. Wakaniambia nile na nusu kuku, nikaongeza na kadogo, treni likakolea moto
 
Tunaokunywa juisi kola sasa..😅
 
nilianzaga na the kick nika mix na dallars kipindi hyo vinauzwa mia 3. nilitoa pesa nika mdanganya manzi alikuwa kaja home kusalimia, sasa nikaona njia sahihi ni kumpa pombe ni mx na viroba ili akilewa ni mle.
aise manzi kama ana maono, akani force ninywe chap anakuja anaenda kucheck usalama chumba cha mdogo kumbe ndo mazima, pombe ilipanda nikatamba na ukuta mpaka chumbani. sitasahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…