mwakavuta
Member
- Sep 22, 2020
- 99
- 306
Haki ya Mungu aliyetengeneza hiki kinywaji simlaumu. Mimi nimeanza kunywa pombe nikiwa form two, uchaga umenikaa kwelikweli, pamoja na kuniletea majanga lakini sifikirii kuacha.
Nakumbuka siku ya kwanza kunywa pombe nilinunuliwa viroba viwili na rafiki yangu chanzo kilikuwa ni mashindano ya kunywa mara moja bila kukunya sure[emoji2][emoji2] nilivikata wakaniwekea heshima kwa kujifanya mwamba nikataka na fegi, Kudadeki nilikata sm kama sina akili poa hadi naondoa eneo la tukio nimekata pakti.
Kuanzia apo nimekuwa nakunywa kisela nilipumzika kidogo nikiwa advance na chuo mwaka wa kwanza ulokole ulikolea saiv nimerudi kundini nakata maji kama kawa.
Pamoja na visanga vya pombe sijutii kunywa pombe kudadeki, Hapa naandika huu uzi namalizi kukata double kick ya pili nikalale.