Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Na kama ni simu mpya weeee acha tu hilo wenge lakeAhahahahha nasikia kile kitendo cha kujisachi mfukoni na kukuta huna simu...
Pale mapigo ya moyo huwa kasi sana kiasi ambacho kama ulikua na haja inaweza kutoka gafula mkuu