Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

USITAMANI MKE/ MUME ASIYE WAKO. MKE WA MWENZIO USIMVALIE TAI.
MUME WA MWENZIO USIMPAKIE WANJO.
NATOA ONYO KWAKO EEEE KAMA NDUGU TABIA HIYO SIYO NZURI DUNIANI.
 
naona unaandika kilichokutokea
 
Sema mume wake alikuwa mpembaa tu na mimi niliwahi kuhama kodi ilipoisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nilikuwa na rafiki yangu mmoja. tulikuwa tunakula nae maji kila jioni (mzee wa makamo) alioa binti mdogo na mzuri . yule bint alikuwa na tabia ya kumfuata mzee pale kijiweni. siku moja akaja mzee alivyoenda toilet nikapewa namba na shemela. mawasiliano yetu yakaanza na tukaingia kwenye mahusiano. nikawa na mpiga pump yule dem hadi akamsahau babu. usiku anatoroka mzee akiwa amezima anakuja nampiga pump za hatari mzee alikuja kugundua ikawa taflan .....niishie hapo
 
Duuuh kwa hiki kingereza ulichoandika hapa hao Ma Prof wa Texas waliweza kuelewa Thesis yako ya PHD???[emoji23]

Anyway i hope u successfully completed ur PHD studies in Texas and ur a Doctor huko ulipo
Yes they did
 
Ngoja nisubir uzi ya ushuhuda walioshikwa ugoni na kuliwa viboga msijifanye hapa wengi mlipona wengine mlitembezwa nje uchi
 
Huu mkwara dunia [emoji23]
 
Noma sana mzee...!!
 
Hii umeipost kwenye Uzi wa rickboy umeileta tena na huku daaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…