Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Solder miezi yote hyo hujapiga kubwa Baharia mwenzetu hapo ulituangusha hao watu unawasukumia dudu hadi na chata inatoka
Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita,nilikuwa nimetengena na mpenzi wangu.Sasa ikatokea kuna Jamaa mmoja namjua ye mtu mzima kidogo,ila sababu ughaibuni watu mnakuwa marafik tu.Jamaa akanambia yeye wife wake ana rafiki,ana matatizo na mme wake na wanataka kuachana ila yupo lonely sana anahitaji company.Nikamwambia amlete,bas siku naenda kwao kumuona yule mwanamke kumbe mwaarabu,nilistuka kidogo,sababu alionyesha anajiheshimu sana,na nilitegemea angekuwa mbantu mwenzangu ndo nnaowapenda,lakin maji nishayavulia nguo sikuwa na budi kuyaoga.
Sikuongea sana siku ile sababu nilishindwa kutongoza kikawaida,ikabidi nichukue namba nikamwambia tutaongea kesho yako,nilitaka nimpeleke sehemu sio pale kwa rafik angu.baada ya kuaga sijafika mbali simu inahita,kuangalia mke wa yule rafiki angu analalamika kuwa yule mwanamke anafikili sikumpenda ndo maana nimeondoa alaka.ikabid nigeuze nikarudi kumchukua,tukapiga story sana alikuwa mzuri sana.Akataka siku ya pili aje tena,baharia nikawa nishasoma zamani,nikampa address aje home,siku ile yaani namgusa kumtoa koti,mwil wake unatetemeka ile mbaya,kumkumbatia tu kalegea kabisa!.Alikuwa na mwili mzuri yule mdada na nikagundua alikuwa ana miss sana mwanamme,na mi nilikuwa na ugwadu flani hiv,nikawa nampa dozi za uhakika.tulidumu karibu miezi 8,mpaka nikawa naletewa chakula nyumbani.
 
Ukitembea na mke wa mtu, ujue wewe muda wote unaweza kufa.au chochote kibaya kinaweza kukuta. Unaweza chomeka mkang'ang'aniana hapo na jamaa anataka milioni 3. Mimi mke wangu nimemuweka dawa yaani jamaa mwingine akichomeka mashine tu. Haifanyi kazi milele ndiyo unakuwa hanithi hivyo. Siku ukinitafuta niirudishe ifanye kazi inabidi nikupige mashine siku nzima yaani masaa 12. Unatoa hela ya KY, Chumba cha guest na hela ya chakula, maji na ukubali kurekodiwa kipindi unapigwa show. Tofauti na hapo tusijuane
Mmmh mkuu utauaaa
 
Ukitembea na mke wa mtu, ujue wewe muda wote unaweza kufa.au chochote kibaya kinaweza kukuta. Unaweza chomeka mkang'ang'aniana hapo na jamaa anataka milioni 3. Mimi mke wangu nimemuweka dawa yaani jamaa mwingine akichomeka mashine tu. Haifanyi kazi milele ndiyo unakuwa hanithi hivyo. Siku ukinitafuta niirudishe ifanye kazi inabidi nikupige mashine siku nzima yaani masaa 12. Unatoa hela ya KY, Chumba cha guest na hela ya chakula, maji na ukubali kurekodiwa kipindi unapigwa show. Tofauti na hapo tusijuane
Hahaaaa, nilikuwa na appointment na mke wa mtu kesho nikamle nimeghairi aisee
 
Najua unatembea sana na wanawake za watu ndiyo maana unaona uchungu sana kupigwa paipu kwa ajili ya matibabu. Ila kumbuka baadhi ya wanaume wake zao hawachukuliwi na wao wanawake wanalijua hilo. Tembea na mke wa mwanajeshi, hakimu, mkuu wa mkoa, waziri au polisi halafu uje utoe mrejesho. Kuna watu wamebambikiwa kesi na wamefungwa gerezani na hawajui watatoka lini gerezani kwa kutembea na wake za watu. Kuna wengine wameshakuwa vilema na wengine wamekufa kwa kutembea na wake za watu.
Ukisikia mke wa mtu ujue hiyo ni mali ya mtu ni sawa na kuiba mbuzi au simu kwa jamaa kwahiyo kuwa hai inatokana na huruma ya jamaa. Kama unafikiri mke wa mtu ni wa wote, nenda kwa mwanajeshi wa jirani yako halafu anza kumtania mke wake, mke wangu halafu uone kitakachokutokea.
CHA MTU MAVI
Hiyo ya kubambikiziwa kesi nimewahi shuudia, usiombe kabisa hasa kama huyo askari mwenyewe ni mzito kidogo. Kuna jamaa huko Mwanza alikuwa anamla mke wa Inspector, tena huyo mke ndio alimshobokea mshikaji. Na huyo mwanamke alikuwa ni mstaharabu sana ila aliamua kuchepuka kwa makusudi kama revenge baada ya kugundua mume wake amempa mimba mfanyakazi kazi wao wa ndani.

Sasa lile liinspector lilivyogundua kwamba mke wake anatoka nje ya ndoa, likamtafuta yule chalii aliyekuwa analigongea mke kisha likambambikizia kesi ya kukutwa na silaha kinyume na sheria. Yule chalii alisota ndani karibu mwaka mzima kwa kesi ya kubambikiziwa.

Sijui kwanini sisi wanaume huwa ndio tunaumia sana tukisalitiwa kuliko wanawake.

Niliipoona hii comment nikakumbuka hilo tukio miaka hiyo ya 2007. Au utakuwa ndio wewe nini!? Sio inspector Abuu kweli wewe?
 
Mh mkuu wanyaturu,wanyeramba,warangi na wamanyara hawa wagawaji sana.
Yani ukioa hayo makabila jua umeolea kijiji ama mtaa.
Hapo umeniacha hoi,hao Wamanyara ndio wepi tena sijawahi sikia hiyo jamii/kabila
 
Hivi wote mliokula wake za watu hakuna hata mmoja aliyetatuliwa marinda mseme na - effect zilizowakuta maana mnavyoongea ni kama mnaona sifa kumbe ujinga mtupu
 
Mh mkuu wanyaturu,wanyeramba,warangi na wamanyara hawa wagawaji sana.
Yani ukioa hayo makabila jua umeolea kijiji ama mtaa.
Ni wazuri hivyo wanatongozwa na wengi
Na hawezi wakataa wote
 
Jamani comments ziwe fupi fupi!
Halafu naona mapovu kwa mbaaali, mwanamke kama hajiheshimu ni hajiheshimu tuu!! Utaweka dawa, mfungie na hirizi ila kama hana maadili ni hana tuu!! Huwa hawabakwi wanaenda wenyewe!

Aisee
 
Ina maana kuna siku kisamvu changu kitaliwaaa???
kuna mke wa MTU mmoja hivii...anachofanya anaanza kukushawishi kwa kauli na hata ishara..

sasa ukiingia mkenge na ukakubali,kitakachotokea anapanga na Mume wake naye anakufumania live

huyo Mume yeye anapendaga kukula kisamvu tu na mke anashuhudia..

yaani mtaani vijana wengi wanaliwa TIGO kimya kimya kwa kumpapatikia huyo mke wa mtuu
 
Back
Top Bottom