Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Solder miezi yote hyo hujapiga kubwa Baharia mwenzetu hapo ulituangusha hao watu unawasukumia dudu hadi na chata inatoka
 
Mmmh mkuu utauaaa
 
Hahaaaa, nilikuwa na appointment na mke wa mtu kesho nikamle nimeghairi aisee
 
Hiyo ya kubambikiziwa kesi nimewahi shuudia, usiombe kabisa hasa kama huyo askari mwenyewe ni mzito kidogo. Kuna jamaa huko Mwanza alikuwa anamla mke wa Inspector, tena huyo mke ndio alimshobokea mshikaji. Na huyo mwanamke alikuwa ni mstaharabu sana ila aliamua kuchepuka kwa makusudi kama revenge baada ya kugundua mume wake amempa mimba mfanyakazi kazi wao wa ndani.

Sasa lile liinspector lilivyogundua kwamba mke wake anatoka nje ya ndoa, likamtafuta yule chalii aliyekuwa analigongea mke kisha likambambikizia kesi ya kukutwa na silaha kinyume na sheria. Yule chalii alisota ndani karibu mwaka mzima kwa kesi ya kubambikiziwa.

Sijui kwanini sisi wanaume huwa ndio tunaumia sana tukisalitiwa kuliko wanawake.

Niliipoona hii comment nikakumbuka hilo tukio miaka hiyo ya 2007. Au utakuwa ndio wewe nini!? Sio inspector Abuu kweli wewe?
 
Mh mkuu wanyaturu,wanyeramba,warangi na wamanyara hawa wagawaji sana.
Yani ukioa hayo makabila jua umeolea kijiji ama mtaa.
Hapo umeniacha hoi,hao Wamanyara ndio wepi tena sijawahi sikia hiyo jamii/kabila
 
Hivi wote mliokula wake za watu hakuna hata mmoja aliyetatuliwa marinda mseme na - effect zilizowakuta maana mnavyoongea ni kama mnaona sifa kumbe ujinga mtupu
 
Mh mkuu wanyaturu,wanyeramba,warangi na wamanyara hawa wagawaji sana.
Yani ukioa hayo makabila jua umeolea kijiji ama mtaa.
Ni wazuri hivyo wanatongozwa na wengi
Na hawezi wakataa wote
 
Jamani comments ziwe fupi fupi!
Halafu naona mapovu kwa mbaaali, mwanamke kama hajiheshimu ni hajiheshimu tuu!! Utaweka dawa, mfungie na hirizi ila kama hana maadili ni hana tuu!! Huwa hawabakwi wanaenda wenyewe!

Aisee
 
Ina maana kuna siku kisamvu changu kitaliwaaa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…