Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Wakurya/wajita na wanawake wakali sanaaaaaaaaaaaaaaa......hata awe rough vipi,stil u can see their hidden treasures
 
Usisahau kuwa na kilainishi kila ukienda kumla
 

Umetumia weakness yake kutokua na hela kula mzgo
 
alikua ex wangu siku akanambia kunakitu anataka kunambia, siku akanambia tukutane gest kwwli nikaenda nikapiga sanaa mumewe alikua kasafiri watoto walikua kwa bibi yao,ila akaja akanibadilika kwanin sikumuoa mimi nikambbeleza saiv tunaendelea na mawasiliano ya kawaida
 
Mi kuna mmoja nilimtongoza enzi hizo kijiini mwaka 2003 akanizingua nikaachana nae, mwaka 2015 kanitafuta eti sikuwa serious kipindi kile ndo maana sikumtafuta, aisee yaani baada ya miaka 12 hata nilishamsahau tayari,
 
Daaaah!!!!
 
Hivi mke wa mtu anaombaje hela,hilo ni jukumu la mumewe,mimi hata kukopesha mke wa mtu siwezi.

Zile stori umeacha buku 3 unakuta maini na mchele ulionyooka mixer sharibati hukuwah kuzisikia mkuu, unadhan hela wanapataga wap kama sio kwenu nyiny??
 
Hivi mke wa mtu anaombaje hela,hilo ni jukumu la mumewe,mimi hata kukopesha mke wa mtu siwezi.
Kama ni hivyo usile mzigo maana ni jukumu la mumewe kufanya hivyo
 
Nimetafakariiiii nimeamua nami nitoe yangu, nimeshakulana na na waume za watu wawili 🤣 🤣 🤣 🤣 akati huo niko advance nlikutana na dr Victor nkiwa natibiwa hospitalini hapo alinipenda ila mi skuwa nampenda kiukweli ila alikuwa ananipa ela uyo, sku moja mke wake kanipigia simu kwa namba ya mumewe, eti "we mtoto unajua wameshapita wangapi wanatuacha? Endelea unachotafuta utakipata nlitetemeka, nlilowa jasho, skula sku nzima nikiwaza ile kauli, nawaza inamaana ni waathirika? Ila mbona tulipima? Aaaaghhhrr nlichoka, nkajua kukutana na mwingine kipindi iko nimezinguana na mchumba nimekataa asinioe na pete nkamrudishia mama ake (ex mama mkwe) ampe kijana wake, tukiwa ofisi moja afu boss wangu tulidumu miaka miwili adi nakutana na mr wangu alonioa ila nlimpenda yule baba na alikuwa mtu mzima na yeye alikolea hasa, alikuwa hana shida yaani adi raha kuwa mchepuko, akizingua nami nazingua adi anapiga goti ananiomba msamaha hahahahaa uku naangalia account pia ili nkija kuachwa nsibaki mtupu najua kina Khantwe Sky Eclat manengelo mtanielewa
 
Kama ni hivyo usile mzigo maana ni jukumu la mumewe kufanya hivyo

kama umemuelewa huyo jamaa,ni kwamba huyo mwanamke amemuomba hela jamaa kama jirani siyo kama mchepuko wake,jamaa ameanza kula baada ya kuombwa hela
 
Zile stori umeacha buku 3 unakuta maini na mchele ulionyooka mixer sharibati hukuwah kuzisikia mkuu, unadhan hela wanapataga wap kama sio kwenu nyiny??

Matatizo mengine wanaume ndo tunayatafuta wenyewe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…