Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

kipindi muhuni niko zangu udom kuna dada alikua anapita kusuka wanachuo kwenye hosteli zao...mtoto mmoja wa kikurya black beauty anatako kama anachambia hamira..muhuni nikamueka sawaa akaelewaaa..khaaa mtoto alikua na ndogo kama tundu la pua...basi ikawa kabla ya kusuka dudu..baada ya kusuka anapewa dudu tamuu...baadae ndo akasema kua ni mke wa muarabu..nilivokumbuka waarabu walichukua babu zetu kama watumwa..kudadeki ndo nikawa namkunja kama fensi ya umeme..afu demu alintambulisha kwa bwana wake kua mi mdogo ake ..ingawa huyo jamaa hatukuonana..ila ilikua anaongea na mimi kupitia kwenye simu..siku mara paap nasikia demu anasema niko apa ribrary na shemeji yako anataka kukuona..nikasema niko ngongona uku mbali sana..mara jamaa akachukua simu akasema chukua bodaboda bwana kwa bei yoyote ntalipa..hapo sasaa machale ya tako yakanicheza...baadae akasema uko wap hufiki dogo..nikasema niko informatics..akasema nisubir hapohapo nakuja..nhapo ndipo nlipozima simu niokoe marinda....maana kesho yake demu alintafta kwa no nyingine akssema jamaa aliona text ya utata hivo ikabid aweke mtego..demu akasema alikua haogopi mi kupigwa maana anajua kua nlikua napga martial arts hatar..ila tatizo bwana wake ata ngumi hawez ila anamguu wa kuku...dah siku ile mazee ningekaangwa na chamoto..anyway ester popote ulipo nakupa hi sana mamilooo..
Wakurya/wajita na wanawake wakali sanaaaaaaaaaaaaaaa......hata awe rough vipi,stil u can see their hidden treasures
 
Usisahau kuwa na kilainishi kila ukienda kumla
Katika mishe zangu za utekelezaji wa shughuli zangu,nilikutana na dada mmoja maeneo site ilipokuwepo. Nikarusha ndoano akazingua lakini baada ya wiki mbili akatoa tunda. Kila weekend akitoka church ananitafuta,tunaelekea sehemu tulivu kabisa tunazawadiana.

Juzi nimepiga simu anaongea kidogo anakata, nikipiga tena ninachoonhea anajibu kitu kingine kabisa. Haikupita muda ikapiga simu njemba moja inatoa povu balaa.

Ila niliua so,kutokana na story ya huyo dada,nilikuwa najua anapofanya kazi, namjua boss wake. Mume alipokuja juu,nilijifanya boss wa mke wake,jamaa akawa mpole balaa.

Nimepanga Kesho naonana na mpenzi wangu tunapeana tena.
 
Alikuwaga jirani yangu. Siku hiyo nimekutana nae njiani kaniomba hela. Nilikuwa nayo lakini nikamwambia sijatembea na hela labda twende home ukachukue.
Alivyoingia ndani baasi kazi ikawa rahisi. Kwanza nilikuwaga namtamani muda mrefu na alivyo na chura.

Umetumia weakness yake kutokua na hela kula mzgo
 
alikua ex wangu siku akanambia kunakitu anataka kunambia, siku akanambia tukutane gest kwwli nikaenda nikapiga sanaa mumewe alikua kasafiri watoto walikua kwa bibi yao,ila akaja akanibadilika kwanin sikumuoa mimi nikambbeleza saiv tunaendelea na mawasiliano ya kawaida
 
Mi kuna mmoja nilimtongoza enzi hizo kijiini mwaka 2003 akanizingua nikaachana nae, mwaka 2015 kanitafuta eti sikuwa serious kipindi kile ndo maana sikumtafuta, aisee yaani baada ya miaka 12 hata nilishamsahau tayari,
alikua ex wangu siku akanambia kunakitu anataka kunambia, siku akanambia tukutane gest kwwli nikaenda nikapiga sanaa mumewe alikua kasafiri watoto walikua kwa bibi yao,ila akaja akanibadilika kwanin sikumuoa mimi nikambbeleza saiv tunaendelea na mawasiliano ya kawaida
 
Ya pili hii ....

Kuna binti alikuja home kumsalimia mjomba wake ambaye alikuwa mapamgaji wetu. Yule binti kwa muonekano huwezi kuhisi kama ameolewa kwa sababu anaonekana mdogo sana kiumbo. Ila anapoishi sio mbali na home kwetu enzi hizo nikatafuta namna mpaka nikajenga naye mazoea Mungu si Halfani aka majani mrembo akaniambia yeye anaishi na mama yake mdogo ila huwa anasafiri ikitokea ameshafiri atakuja home kulala.

Dah nikaona isiwe kesi siku hiyo nipo zangu na wana mara binti ananiita pembeni nilipoenda akaniambia leo nakuja mama mdogo amesafiri nikamwambia poa ikifika ile mida ya kuangalia ule mchezo wa FUKUTO wa kina Muhogo mchungu na kina Kanumba enzi hizo wewe zama chumbani maana watu wote watakuwa busy kwenye TV.

Mission succesful:-

Mrembo akazama chumbani na mimi nikaangalia lile igizo la fukuto mpaka lilipoisha nikaenda zangu kulala dah kwa mara ya kwanza nilikutana na mtu asiyechoka kwenye ule mchezo nilipopiga viwili nikataka kulala ile usingizi unakolea kolea naona mtu ananisumbua tena tukapiga gegedo mapaka alfajiri nilimtoa ndani ile adhana ya kwanza.

Ukawa ndio mchezo wake kuja kulala home siku moja akaniambia njoo upajue ninapokaa nilipofika nikaingia chumbani kwake nikakuta mkanda na suruali kama nne hivi za kiume zipo juu ya enga nikamuuliza za nani kasema za baba yake mdogo basi wala siku hoji ilikuwa mchana nikachakata papuchi kisha nikaondoka .

Habari zikamfikia mume wake kuwa mke wako huwa halali ndani unapikuwa zamu ya usiku kazini, Kumbe mume wake yupo bandarini ila ni pande la mtu haswa yaani mpaka najiuliza hivi yule jamaa kama angenibamba mle ndani ningewezaje kujitetea nisitatuliwe marinda yangu.

Kuna siku nimeenda pale bila taarifa nikamkuta jamaa amelala sebuleni nikahisi naweza kuwa ndio baba yake mdogo nikatoka ile natoka na kutana yule binti anatoka kuoga amevaa kanga moja tu alistuka sana akaniambia ondoka bab mdogo yupo , kumbe jamaa ndio ametoka kazini night shift na mausingizi yake amejilaza pale.

Kupunguza urefu wa story washikaji wa mtaani walikuja kuniambia ujue Salma ameolewa na mume wake ameshajua kama anachepuka ila hajamjua mtu anayechepuka naye hivyo ametugea kazi hapa tumtajie mtu anayemlia mke wake ili amzibue mtaro. Nilistuka sana tangu siku hiyo na yule hatuna stori ingawa aliachana na yule mume wake lakini nilimuona kama hakuwa akinitakia mema.

MWISHO.
Daaaah!!!!
 
Hivi mke wa mtu anaombaje hela,hilo ni jukumu la mumewe,mimi hata kukopesha mke wa mtu siwezi.

Zile stori umeacha buku 3 unakuta maini na mchele ulionyooka mixer sharibati hukuwah kuzisikia mkuu, unadhan hela wanapataga wap kama sio kwenu nyiny??
 
Hivi mke wa mtu anaombaje hela,hilo ni jukumu la mumewe,mimi hata kukopesha mke wa mtu siwezi.
Kama ni hivyo usile mzigo maana ni jukumu la mumewe kufanya hivyo
 
Nimetafakariiiii nimeamua nami nitoe yangu, nimeshakulana na na waume za watu wawili 🤣 🤣 🤣 🤣 akati huo niko advance nlikutana na dr Victor nkiwa natibiwa hospitalini hapo alinipenda ila mi skuwa nampenda kiukweli ila alikuwa ananipa ela uyo, sku moja mke wake kanipigia simu kwa namba ya mumewe, eti "we mtoto unajua wameshapita wangapi wanatuacha? Endelea unachotafuta utakipata nlitetemeka, nlilowa jasho, skula sku nzima nikiwaza ile kauli, nawaza inamaana ni waathirika? Ila mbona tulipima? Aaaaghhhrr nlichoka, nkajua kukutana na mwingine kipindi iko nimezinguana na mchumba nimekataa asinioe na pete nkamrudishia mama ake (ex mama mkwe) ampe kijana wake, tukiwa ofisi moja afu boss wangu tulidumu miaka miwili adi nakutana na mr wangu alonioa ila nlimpenda yule baba na alikuwa mtu mzima na yeye alikolea hasa, alikuwa hana shida yaani adi raha kuwa mchepuko, akizingua nami nazingua adi anapiga goti ananiomba msamaha hahahahaa uku naangalia account pia ili nkija kuachwa nsibaki mtupu najua kina Khantwe Sky Eclat manengelo mtanielewa
 
Kama ni hivyo usile mzigo maana ni jukumu la mumewe kufanya hivyo

kama umemuelewa huyo jamaa,ni kwamba huyo mwanamke amemuomba hela jamaa kama jirani siyo kama mchepuko wake,jamaa ameanza kula baada ya kuombwa hela
 
Back
Top Bottom