Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?




🤣🤣🤣🤣...!🤣🤣🤣🤣🤣!hahahhaa..hatari tupu!lazima una mmis mchepuko!
 
🤣🤣🤣🤣...!🤣🤣🤣🤣🤣!hahahhaa..hatari tupu!lazima una mmis mchepuko!
🤣 🤣 🤣 yaan kuna muda mr anazingua nataman kumringishia vya enzi izo afu bahati mbaya sjui ilikuwaje akamjua nkakuta ana namba ake kasave km nlivyosave mm🤣🤣🤣🤣
 
🤣 🤣 🤣 yaan kuna muda mr anazingua nataman kumringishia vya enzi izo afu bahati mbaya sjui ilikuwaje akamjua nkakuta ana namba ake kasave km nlivyosave mm🤣🤣🤣🤣


Mkaa gunia 4 unahusu shost🤣🤣🤣!hujaogopa?uwiii👯👯👯!
 
Ama kwa hakika wewe ni sweet 16
 
CL cjui Communication skills haina application youote ile...but nachooamini umeelewa...pia hauna sehemu nimevunja kanuni za uandishi za mitaani labda useme za ofisini
Kama unaongea vibaya mtaani unadhani ofisini utongea vizuri ??
 
umalaya aulipi.
 
Hao waliojazia wapo wengi sana magu stand Kwa wingi nimekula mmoja nae kaolewa
 
Watu tunakutombea tu hakuna kitu unaweza fanya
 
Wacha wivu wa kisengerema, ule ni uchi wake na yupo huru kumpa yoyote anaempenda. Lazima tumle
 
Hivi jamani kwa nini wanaume wenzangu hapa mnaetumia neno "kumla" hivi hamjui kuwa mademu mnao sex nao huwa wameamua kusex nanyi baada ya kuwatongoza? Hivi hamjui kuwa na wao huwa wana enjoy na wanasex na nyinyi? Kwa nini mnaona kuwa mmewala na sio kuwa mmekulana? Kumbukeni kuwa you are fucking each other anaku please na wewe unamplease yeye!
 
Na wao waamzishe uzi wao wa kutula
 
Duh umeongoe fact Sana mzee ,kuna watu ni untouchable lazima ujute tuheshimu taasis inayoitwa ndoa nina jamaa yangu alishapotezwa kaacha watoto na mke wanateseka jamaa alikuwa fund mwenzangu boss anampa kaz jamaa kaanza kutembea na mke wa boss jamaa akakimbilia kwao songea hukohuko alifuatwa mwili ulikutwa tu barabaran boss mwenyewe ni mtu mzito anamigod yake huko chunya ,,chondechonde wanaume wenzangu tutakuja kuacha familia inateseka kisa nyege za dakika 2 na fedheha juu tuache kuchezea taasisi ya ndoa hata Kama mwanamke ndo analeta shobo kimbia labda Kama alifiwa na mumewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…