Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Nimetafakariiiii nimeamua nami nitoe yangu, nimeshakulana na na waume za watu wawili 🤣 🤣 🤣 🤣 akati huo niko advance nlikutana na dr Victor nkiwa natibiwa hospitalini hapo alinipenda ila mi skuwa nampenda kiukweli ila alikuwa ananipa ela uyo, sku moja mke wake kanipigia simu kwa namba ya mumewe, eti "we mtoto unajua wameshapita wangapi wanatuacha? Endelea unachotafuta utakipata nlitetemeka, nlilowa jasho, skula sku nzima nikiwaza ile kauli, nawaza inamaana ni waathirika? Ila mbona tulipima? Aaaaghhhrr nlichoka, nkajua kukutana na mwingine kipindi iko nimezinguana na mchumba nimekataa asinioe na pete nkamrudishia mama ake (ex mama mkwe) ampe kijana wake, tukiwa ofisi moja afu boss wangu tulidumu miaka miwili adi nakutana na mr wangu alonioa ila nlimpenda yule baba na alikuwa mtu mzima na yeye alikolea hasa, alikuwa hana shida yaani adi raha kuwa mchepuko, akizingua nami nazingua adi anapiga goti ananiomba msamaha hahahahaa uku naangalia account pia ili nkija kuachwa nsibaki mtupu najua kina Khantwe Sky Eclat manengelo mtanielewa
🤣🤣🤣🤣...!🤣🤣🤣🤣🤣!hahahhaa..hatari tupu!lazima una mmis mchepuko!