[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilipo nunua TV kwa mara ya kwanza miaka ya katikati ya 90 kama sikosei (kipindi cha world cup) mimi na majirani zangu nilipo panga na mwenye nyumba wote tulikesha kuja kustuka saa kumi na moja jogoo anawika...
Night shiftTueleze ile Siku Ulilazimika kukesha Nyumbani,Njiani,Kazini Au sehemu yeyote bila matarajio Yaani Ulijikuta tu Unatoboa Upende usipende. Namaanisha Jicho- Jicho yaani hukulala kabisaaa!!
.Mara ya Kwanza kusafiri kwa Ndege kubwa safari ndefu,Kwa kweli nilikuja kugundua kama nilikesha baada ya kufika safari yangu.
Heee heeeNilipo nunua TV kwa mara ya kwanza miaka ya katikati ya 90 kama sikosei (kipindi cha world cup) mimi na majirani zangu nilipo panga na mwenye nyumba wote tulikesha kuja kustuka saa kumi na moja jogoo anawika...