Kiokotee
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,675
- 2,211
Tueleze ile Siku Ulilazimika kukesha Nyumbani,Njiani,Kazini Au sehemu yeyote bila matarajio Yaani Ulijikuta tu Unatoboa Upende usipende. Namaanisha Jicho- Jicho yaani hukulala kabisaaa!!
.Mara ya Kwanza kusafiri kwa Ndege kubwa safari ndefu,Kwa kweli nilikuja kugundua kama nilikesha baada ya kufika safari yangu.
.Mara ya Kwanza kusafiri kwa Ndege kubwa safari ndefu,Kwa kweli nilikuja kugundua kama nilikesha baada ya kufika safari yangu.