Kichuchunge
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 384
- 970
Hapakufai hapa unakidomodomo na kiherehereNiliyempenda, alinipenda, tukapendana bado tumeshikana tupo sana,
Haya wadau Karibuni mchangie
Mtaachana tu. The only thing wich is permanent is change.Niliyempenda, alinipenda, tukapendana bado tumeshikana tupo sana,
Haya wadau Karibuni mchangie
Me binafsi sijawah kuwa na mahusiano yenye furaha zaidi zaidi nakutanaga na maex za watu bas wakipatana migogoro ikiisha wanarudiana nakuwa single in short sijawah kuwa na mpenzi wangu nakuwaga na wapenzi wetu 😀 Najua mtashangaa ila ndo maisha yalivyo now sitaki kusikia hayo mavitu akh now nadate pesa [emoji4]Wakuu kwema?
Kila mtu amewahi kupitia kwenye mahusiano. Kuna kipindi mtu anakuwa kwenye mahusiano yenye furaha isiyo kifani hadi anaona kama dunia yote ni ya kwake. Ila mambo yanapogeuka, anajikuta kwenye stress nzito hadi anatamani dunia imdondokee afe tu.
Binafsi, nilimuacha kwa sababu alikuwa hatulii, ana tamaa ya kupitiliza, pesa, ngono, maisha mazuri. Nikaona ataniletea stress mbeleni. Wewe je?
Nimecheka kama lijinga yan xa hilo lolote ni kitu gan au ni pis ilimzid ujanjaSikumpenda sana nilimpenda kawaida tu nikawa tayari kwa lolote, lolote lilipofika nikamwambia kwanzia sasa aniweke kweli list ya watu wake waliokufa kuwa hataniona tena maisha yake yote
Same, japo bdae ilikuja kunicost pakubwa 🥴Alikua mzuri, mpole, innocent nikaona mimi hizi hekaheka zangu ntaishia kumuumiza nikaona nimwache mapema japo yeye mpaka leo bado haamini kua nimemucha maana hatukuwahi kugombana serious
Sikumbuki kumpenda demu yeyote zaidi ya kufaidi matumizi ya mpekechoWakuu kwema?
Kila mtu amewahi kupitia kwenye mahusiano. Kuna kipindi mtu anakuwa kwenye mahusiano yenye furaha isiyo kifani hadi anaona kama dunia yote ni ya kwake. Ila mambo yanapogeuka, anajikuta kwenye stress nzito hadi anatamani dunia imdondokee afe tu.
Sasa hebu tushare inakuwaje wapenzi wale waliokuwa wakipendana na kwa dhati, wanatokea kuachana vibaya vibaya, sababu hasa huwa nini?
Binafsi, nilimuacha kwa sababu alikuwa hatulii, ana tamaa ya kupitiliza, pesa, ngono, maisha mazuri. Nikaona ataniletea stress mbeleni. Wewe je?
Ulienda kutombewa tena?Tulipendana sana sana, ilikuwa tusipoonana kwa siku mbili tu tunamiciana vibaya mno, nilikuwa nikienda kwao hataki niondoke tutakaa mpaka saa6 tunapiga story na kukiss, tulishapanga kuoana kabisa, timbwili lilianza pale nilipochepuka akagundua maana mchepuko ndo ulienda kumchana livu kuwa nimeugonga, aisee yule demu alipitia kipindi kigumu mno, isingekuwa ni mama yake angeweza hata kujidhuru, badae tulikaa sawa ila kosa alilofanya na yy akaja nicheat kama kulipiza kisasi, wanaume huwa hatulipizwi kisasi kwa jinsi hyo ndo ikawa mwisho wetu, badae alikuja kuniomba msamaha na kujutia sana ila sikutaka tena, mama yake aliingilia kati ila ikashindikana, alikuja olewa na ana watoto ila bado ananikumbuka sana na huwa anasema wazi kuwa hatakuja kumpenda mtu kama alivyonipenda mimi, nikiri kuwa nilimpoteza mwanamke wa maisha yangu kwa kiburi cha uanaume na kushindwa kusamehe, nilikuja kuangukia kwa kivuruge na nikavurugika kweli kweli, huwa ananionea sana huruma kwa situation niliyokuja pitia kwenye mahusiano yangu,
Kutombewa tu hyo sio ishu mkuu wangu, nilivurugwa nikavurugika, acha tu shekhe wangu, yaani acha tu.Ulienda kutombewa tena?