bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Zimepita Jumapili kama tatu hivii since Simba kuchezea kichapo kikali cha magoli 5 kutoka kwa Yanga pale Lupaso stadium huku kipande chetu wanasema ilikua ni fedheha.
Bila kukisifu kitengo cha intelijensia cha Yanga hii makala itakua sio chochote Kongole sana wana intelijensia wa yanga wakiongozwa na jamaa mmoja mjanja mjanja hapa mjini.
Usishangae ile gemu ngumu ya Yanga Vs Singida Utd Khalid Aucho Dr alipigwa nje, usitake kujua kwanini Dr alipigwa nje na technical bench la Yanga basi nikujuze ilipangwa jamaa akifanya kosa kidogo tu ile gemu acheze kadi nyekundu ale umeme ili akose gemu tatu na ile ya Simba ikiwepo basi kumbe Yanga wana intelijensia kali na watu makini Khalid akapewa mapumziko na bado timu ikaibuka na ushindi wa goli 2 dhidi ya Singida Utd.
Sasa hii ishu iliwauma sana #Tff wakiongozwa na kiongozi mmoja kwanini Yanga waruke mtego waliotegewa na kumbuka jamaa ni mtu wa visasi basi bana ndio wakaamua wamalizie hasira zao kwa ile ishu ya Ajibu na kulipisa kisasi chao kwa kumfungia mechi tatu.
Roma ikisema imesema