Ilipangwa Khalid Aucho akose gemu ya Simba

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Zimepita Jumapili kama tatu hivii since Simba kuchezea kichapo kikali cha magoli 5 kutoka kwa Yanga pale Lupaso stadium huku kipande chetu wanasema ilikua ni fedheha.

Bila kukisifu kitengo cha intelijensia cha Yanga hii makala itakua sio chochote Kongole sana wana intelijensia wa yanga wakiongozwa na jamaa mmoja mjanja mjanja hapa mjini.

Usishangae ile gemu ngumu ya Yanga Vs Singida Utd Khalid Aucho Dr alipigwa nje, usitake kujua kwanini Dr alipigwa nje na technical bench la Yanga basi nikujuze ilipangwa jamaa akifanya kosa kidogo tu ile gemu acheze kadi nyekundu ale umeme ili akose gemu tatu na ile ya Simba ikiwepo basi kumbe Yanga wana intelijensia kali na watu makini Khalid akapewa mapumziko na bado timu ikaibuka na ushindi wa goli 2 dhidi ya Singida Utd.

Sasa hii ishu iliwauma sana #Tff wakiongozwa na kiongozi mmoja kwanini Yanga waruke mtego waliotegewa na kumbuka jamaa ni mtu wa visasi basi bana ndio wakaamua wamalizie hasira zao kwa ile ishu ya Ajibu na kulipisa kisasi chao kwa kumfungia mechi tatu.

Roma ikisema imesema
 
UKIWA SHABIKI WA YANGA TOTALY UNAKUWA HUNA AKILI.

mnapenda sana kudekezwadekezwa wapuuzi nyie,yaani mpige watu uwanjani muachwe tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha wehu wewe, kwa Aucho unahitaji Intelijensia gani wakati ni mchezaji asie na nidhamu ya ukabaji. Usitoe sifa zisizostahili.

Aina ya uchezaji wa Aucho na kupenda kulalamika kwa waamuzi ni haki yake kupata kadi hakuna cha kuonewa.
 
Zimepita Jumapili kama tatu hivii since Simba kuchezea kichapo kikali cha magoli 5 kutoka kwa Yanga pale Lupaso stadium huku kipande chetu wanasema ilikua ni fedheha.

Bila kukisifu kitengo cha intelijensia cha Yanga hii makala itakua sio chochote Kongole sana wana intelijensia wa yanga wakiongozwa na jamaa mmoja mjanja mjanja hapa mjini.

Usishangae ile gemu ngumu ya Yanga Vs Singida Utd Khalid Aucho Dr alipigwa nje, usitake kujua kwanini Dr alipigwa nje na technical bench la Yanga basi nikujuze ilipangwa jamaa akifanya kosa kidogo tu ile gemu acheze kadi nyekundu ale umeme ili akose gemu tatu na ile ya Simba ikiwepo basi kumbe Yanga wana intelijensia kali na watu makini Khalid akapewa mapumziko na bado timu ikaibuka na ushindi wa goli 2 dhidi ya Singida Utd.

Sasa hii ishu iliwauma sana #Tff wakiongozwa na kiongozi mmoja kwanini Yanga waruke mtego waliotegewa na kumbuka jamaa ni mtu wa visasi basi bana ndio wakaamua wamalizie hasira zao kwa ile ishu ya Ajibu na kulipisa kisasi chao kwa kumfungia mechi tatu.

Roma ikisema imesema
Tunajua hila zaoooo....tulimpumzisha kwa kuyajua hayooo
 
UKIWA SHABIKI WA YANGA TOTALY UNAKUWA HUNA AKILI.

mnapenda sana kudekezwadekezwa wapuuzi nyie,yaani mpige watu uwanjani muachwe tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu mwenye akiri akibishana na mtu ambae hana akiri, je yeye nani anakuwa hana akiri hapo?
 
Hivi unajua kwanini alikosa fainali ya shirikisho? Ni kwa sababu ya marafu yake yasiyo na maana. Kama kungekuwa na njama Kama hizo kwanini Mdathiri pamoja na kufanya kosa la kufungiwa alipigwa faini?
 
Zimepita Jumapili kama tatu hivii since Simba kuchezea kichapo kikali cha magoli 5 kutoka kwa Yanga pale Lupaso stadium huku kipande chetu wanasema ilikua ni fedheha.

Bila kukisifu kitengo cha intelijensia cha Yanga hii makala itakua sio chochote Kongole sana wana intelijensia wa yanga wakiongozwa na jamaa mmoja mjanja mjanja hapa mjini.

Usishangae ile gemu ngumu ya Yanga Vs Singida Utd Khalid Aucho Dr alipigwa nje, usitake kujua kwanini Dr alipigwa nje na technical bench la Yanga basi nikujuze ilipangwa jamaa akifanya kosa kidogo tu ile gemu acheze kadi nyekundu ale umeme ili akose gemu tatu na ile ya Simba ikiwepo basi kumbe Yanga wana intelijensia kali na watu makini Khalid akapewa mapumziko na bado timu ikaibuka na ushindi wa goli 2 dhidi ya Singida Utd.

Sasa hii ishu iliwauma sana #Tff wakiongozwa na kiongozi mmoja kwanini Yanga waruke mtego waliotegewa na kumbuka jamaa ni mtu wa visasi basi bana ndio wakaamua wamalizie hasira zao kwa ile ishu ya Ajibu na kulipisa kisasi chao kwa kumfungia mechi tatu.

Roma ikisema imesema
Mwanamke mzima unahamishia uongo na uzushi kwenye soka!
Utaweza kuishi na mume kweli?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Tumeifunga Yanga 2-0 aucho ndani, tukamfunga mkwakwani kwa penatly Na Aucho Akakosa Penalty mnataka kusema Nini?
 
Zimepita Jumapili kama tatu hivii since Simba kuchezea kichapo kikali cha magoli 5 kutoka kwa Yanga pale Lupaso stadium huku kipande chetu wanasema ilikua ni fedheha.

Bila kukisifu kitengo cha intelijensia cha Yanga hii makala itakua sio chochote Kongole sana wana intelijensia wa yanga wakiongozwa na jamaa mmoja mjanja mjanja hapa mjini.

Usishangae ile gemu ngumu ya Yanga Vs Singida Utd Khalid Aucho Dr alipigwa nje, usitake kujua kwanini Dr alipigwa nje na technical bench la Yanga basi nikujuze ilipangwa jamaa akifanya kosa kidogo tu ile gemu acheze kadi nyekundu ale umeme ili akose gemu tatu na ile ya Simba ikiwepo basi kumbe Yanga wana intelijensia kali na watu makini Khalid akapewa mapumziko na bado timu ikaibuka na ushindi wa goli 2 dhidi ya Singida Utd.

Sasa hii ishu iliwauma sana #Tff wakiongozwa na kiongozi mmoja kwanini Yanga waruke mtego waliotegewa na kumbuka jamaa ni mtu wa visasi basi bana ndio wakaamua wamalizie hasira zao kwa ile ishu ya Ajibu na kulipisa kisasi chao kwa kumfungia mechi tatu.

Roma ikisema imesema
Mkuu hii ishu tulijadili na jamaa mmoja, Akaniambia hata yule Askari Bacca kwa nini hakucheza?
 
Back
Top Bottom