Ilipobainika kuwa Mfalme ana matatizo ya afya ya ubongo shida ilikuwa jinsi ya kumfahamisha

Ilipobainika kuwa Mfalme ana matatizo ya afya ya ubongo shida ilikuwa jinsi ya kumfahamisha

Kuna taarifa pia kuwa mfalme juha huyu alimuua Saanane kwa mikono yake mwenyewe Ikulu.
 
Afya ya akili ni afya kama ilivyo ya mwili. Wakati mwingine chemikali na chembe hai zinazosafirisha habari zinapata matatizo. Tatizo la afya ya akili linatibika ingawa linahitaji tiba ya muda mrefu na mgonjwa awe ametulia. Lakini katika miaka ile wana Mtakuja walitegemea mizizi na miti shamba katika tiba zao.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Na baadhi ya mizizi na miti shamba ilienda kuchukuliwa nchi ya mbali ya Madagascar
 
Katika kijiji cha Mtakuja walimpata Mfalme ambae alikuwa kipenzi cha watu. Watu walimpenda Mfalme na Mfalme aliwapenda raia wake. Mfalme alirithi ufalme kutoka kwa baba yake, na alikuwa bado na nguvu zake. Raia walimtegemea jemedari huyu kuwaongoza kwa muda mrefu.

Matatizo yalianza katika kauli za Mfalme. Wazee wenye busara na waganga wa kienyeji katika kijiji kile waligundua tatizo la Mfalme. Shida ikawa jinsi ya kumfahamisha kuwa Mfalme unahitaji tiba.

Afya ya akili ni afya kama ilivyo ya mwili. Wakati mwingine chemikali na chembe hai zinazosafirisha habari zinapata matatizo. Tatizo la afya ya akili linatibika ingawa linahitaji tiba ya muda mrefu na mgonjwa awe ametulia. Lakini katika miaka ile wana Mtakuja walitegemea mizizi na miti shamba katika tiba zao.

Wote waliokwazwa na kauli za Mfalme walimsamehe baada ya kugundua matatizo yake.

Asante sana marehemu bibi yangu kwa kunisimulia kisa hiki.
Bibi abarikiwe na aongezewe miaka mingi
 
daaah mwanzo nilijua ni nn sijui...anyway asante kwa ujumbe
 
Mfalme alienunua wachezaji wengi wa Simba fc akiamini atashinda ubingwa kiulaini, mfalme anaelalamika kila kukicha as if timu yake inakaribia kushuka daraja wakati tangu msimu unaanza timu yake ndio inaongoza ligi.
 
Kuna nyakati aliwaambia 'nikiwa mfalme kuna watu wataishi kama mashetani', na kweli wanamtakuja waliishi kama mashetani!
 
Achana na Akili, damu ndio kila kitu.
Damu ndio inabeba vizazi, damu ndio uhai wenyewe. Usimwage damu ya mtu.
Damu inabeba uzima na uhai wa mwili, akili, nafsi hadi roho.

Heshimu damu za watu na tunza damu yako.

Katika kiumbe hakuna afya ya kipande muhimu kuliko kingine, siku hilo puru (anus) lako lizibe/lifunge ndo utajua umuhimu wake!
 
Back
Top Bottom