Ahsante endelea kuongeza wake pia..
unakuta mtu kakutenda vibaya na majigambo juu bt bado unampenda unashauriwa mpaka na wachungaji umsahau ,,pamoja na mabaya mengi alokutendea bado moyoni hatoki na kuona hutakuja kupata kama yeye au zaidi yake au huzani kama utakuja kufurahi/ kuishi bila yeye .
jmn ni wote huwa inawatokea au nikujiendekeza tu.
Mi sijawahi kutokewa kwa kweli na namuomba Mungu isitokee
Haka kamsemo leo kamekukaa.....
Na uliwezaje kujipanga mpaka kurejea kwenye hali yako ya kawaida?Eeeeh imeishawahi kunitokea
If you love me...I am in your heart...if you hate me am in your mind....both ways I am winning...
Hehehe I can't wait.........
Yaah hasa kwa wanawake ipo sana hii.. Yaani wanaume wanavyowafanya wanawake lkn mmmmhh !!
Pole sanaUnakuta mtu kakutenda vibaya na majigambo juu but bado unampenda unashauriwa mpaka na wachungaji umsahau pamoja na mabaya mengi alokutendea bado moyoni hatoki na kuona hutakuja kupata kama yeye au zaidi yake au hudhani kama utakuja kufurahi kama ukiishi bila yeye.
Jamani ni wote huwa inawatokea au nikujiendekeza tu.