Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Tatizo wengine tumeumbwa mapambo ya dunia siyo wake za watu sheikh
Shauri yako...endelea kupamba hiyo dunia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo wengine tumeumbwa mapambo ya dunia siyo wake za watu sheikh
Mnhhh mbona Leo ni once tu thread hii tu ?...twende Bagamoyo nikakupoteze
Bagamoyo ndo uta whispers hako kamsemo masijuoni mwangu????
Bagamoyo ntakuimbia a song...by john legend ..all of me...
Inategemeana na muhusika mwenyewe hakuna kanuni maalum, kuna baadhi ya watu inawatokea na kuna baadhi ya watu wengine mkimalizana, mmemalizana
Mie ilishantokea mpaka nkataka kuchizika
Looh mapenzi haya jamani
Shauri yako...endelea kupamba hiyo dunia.
unakuta mtu kakutenda vibaya na majigambo juu bt bado unampenda unashauriwa mpaka na wachungaji umsahau ,,pamoja na mabaya mengi alokutendea bado moyoni hatoki na kuona hutakuja kupata kama yeye au zaidi yake au huzani kama utakuja kufurahi/ kuishi bila yeye .
jmn ni wote huwa inawatokea au nikujiendekeza tu.
Ishawahi kukutokea?(nauliza kwa nia njema tu)
Ahsante endelea kuongeza wake pia..