Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ni rahisi sana kulinda mzigo ama mfu wakati mkifanya michakato mingine ili kuweka mambo sawa! Ni ngumu mno kulinda mtu aliye hai hasa akiwa mateka ama mfungwa....kwa muktadha wa mada hii tutayaacha makundi yote na kujadili kundi la mateka tu....
Turejee simulizi ya Dr. Shika Urusi na jinsi alivyoweza kutoroka!
Mipango yote ya kufanikisha utekaji na hatimaye zoezi kukamilika ...huja kipengele kigumu mno...kumlinda mateka....ni ngumu kwakuwa unamshikilia hivyo kuna siku utakuja kumwachia banda ya muafaka kufikiwa na pande zote mbili (mteka na mtekwaji)
Ni hatari kukaa na mateka muda mrefu kwakuwa pamoja na ulinzi wa kila aina lakini utahitaji watu halisi wa kupokezana zamu ...na kwa jinsi unavyokaa naye kwa muda mrefu ndio jinsi anvyojifunza jambo jipya kila uchao na kila uchwao...hivyo ni lazima mission iwe ya muda mfupi zaidi na ajue machache kadiri iwezekanavyo kuhusu wewe kwakuwa kuna siku atakuwa raia huru .......
Mateka wa namna hii hutekwa kwa ajili ya kulazimishwa kufanya jambo fulani....hasa kulipa fidia (ransom/kikomboleo)....mara nyingi baada ya kufanikiwa utekaji mtekaji hutoa taarifa kwa familia yake ndani ya masaa 72....hapa wasiwasi na sintofahamu kwenye jamii pamoja na mamlaka husika vikiwemo vyombo vya ulinzi hupungua kwakuwa lengo la utekaji linakuwa tayari limeshajulikana
Watekaji ni watu wenye IQ ya juu mno na huchora mchoro wao mapema na kuufanyia mazoezi said ya mara tatu ili kutathmini ufanisi na kuepuka makosa yatakayopelekea mission kufeli....hawa jamaa hutumia muda wa kutosha na kudodosa mpaka vitu visivyofikirika kama hali ya hewa, tairi za gari, mavazi muda wingi na uchache watatu, majengo ya jirani shughuli zinazoendelea nk
Mfumo wa ulinzi wa eneo watakalofanyia kazi pia ni muhimu sana kwao,aina ya ulinzi ,nguvukazi , ufanisi wa kupeleka habari kwenye vyombo vya ulinzi baada ya tukio ,barabara za kupita, shortcut,traffik lights nk
Chukulia mfano wa CCTV camera ,huu mfumo huweza kuchanganywa database yake kwa remote tu ,tena toka mbali ama cameras kugeuziwa kwingine ....wanachohitaji kujua ni aina tu ya mfumo wa camera na mashine yake....
Kuacha alama moja ndogo ni kosa kubwa ambalo linaweza kumgharimu mhusika maisha yake..hivyo mission hurudiwa mara nyingi (rehearsal)
Kwenye mfumo wa utekaji ni lazima kuwe na makundi haya
1. Boss mkubwa (mfadhili)
2. Mkuu wa operation(kutoa amri zote na maelekezo yote muhimu)
3.wasoma ramani (utaalam wa kutengeneza mchoro wa kazi)
4. Wabeba silaha(hawapapasi macho wakiambiwa piga wanapiga)
5. madereva (hawajui kifo ninini, wajuzi wa barabara na mwendokazi ,akishakutangulia sahau)
6. Walinzi , watesaji wapishi na wahudumu wengine (hawa huishi nyumba alimo mateka)
Makundi yote haya yamefunzwa nidhamu, ukimya kasi na usiri..pamoja na uwezo wa kuhimili mateso
Yote kwa yote kuna makosa yasiyoepukika (fatal errors )...mwandishi aliyeuawa ndani ya ubalozi wa Saudia, kumbe SAA aliyokuwa kavaa ilikuwa na link na simu yake aliyoiacha nje na mpenzi wake..wakati anaingia kwenye jengo husika aliminya kitufe cha kurekodi na akajirekodi mauaji yake mwanzo mwisho ....kosa kama hili ni nani angejua?
Mateka hatakiwi kukaa matekani muda mrefu
Mateka kama ni wa kuachiwa hatakiwi kuteswa ...kwa jinsi unavyokaa naye muda mrefu ndio risk za kutoroka ,usaliti na hata kukamatwa zinavyozidi kuwa kubwa...
Mateka wa kulipa kikomboleo kwa mukatadha wa mada hii wakikubaliana na watekaji wao hulipa na kuachiwa salama salimini.....mateka wengine kwa ajili ya ishu za kibiashara , mitandao ya pesa haramu, biashara haramu , mahusiano na makundi ya kigaidi na kimafia....watamfanya mateka atoe pesa wanazotaka ama nyaraka fulani ikiwemo mikataba nk na mwishowe kuishia pipa la tindikali.........Ama kubanikwa mpaka uive, uungue mpaka ubaki jivu[emoji15][emoji15][emoji15][emoji87][emoji87][emoji87][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562]