Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tehetehee,kwa mzee wa kiringe hilo kutokea ni ndotoo[emoji16] [emoji16]Mara paaaap tunasikia umetekwa kilingeni saa 8 ikijiandaa na safari za kupaa na ungo
Hapana.ni uzembe tuu/kutokua na weredi utoshaoKwa makusudi?
Pengine hawajatafutwa rasmiHivi wapiga ramli wanaweza kutusaidia hapa ?
Wamulike alipo MO na kutoa taarifa polisi.
Nasikia kuna tv ya kienyeji na wakiiseti inaonesha kila kila kitu wazi kabisa.
Mbona wanajinadi kuwa na uwezo huo wanao, na wateja wanapata na pesa wanawapiga.
Ili tuwalaze watu bao 7:0 lazima uwe huko kilingeniNitakuwa kilingeni Msata kuna ishu muhimu sana
But this one is above level....very next level ....! Time will tell .....shida mtoto anapenda sana kick bila tafakuri.....si kila kichaka ni cha kuvamiaMshana nakunaliana na wewe. Lakini kazi hii huanza kuingia dosari hasa wahusika wanapoanza kuwa wengi.
Uwingi wao hufanya mambo kadhaa yaanze kujitokeza(IQ, tabia binafsi,uwezomwa kazi,maslahi kuhusiana na tukio,mikakati ya baadaye nk).
Kwa namna hiyonkukaa na mateka muda kunaongeza risk zaidi.
iAdios!
Nahisi kama inaweza ikawa mwanzo wa kufanya kitabu fulani kisisomwe tena na watu kuanza kutafuta kitabu kipya ambacho kurasa zake zote bado hazijachafuliwa.But this one is above level....very next level ....! Time will tell .....shida mtoto anapenda sana kick bila tafakuri.....si kila kichaka ni cha kuvamia