Ilivyo ngumu kumlinda mateka!

Ilivyo ngumu kumlinda mateka!

kushikilia mateka si kazi. kazi kutokanae eneo la tukio. kama kuvamia benk na kuitorosha.
 
Hivi wapiga ramli wanaweza kutusaidia hapa ?
Wamulike alipo MO na kutoa taarifa polisi.
Nasikia kuna tv ya kienyeji na wakiiseti inaonesha kila kila kitu wazi kabisa.
Mbona wanajinadi kuwa na uwezo huo wanao, na wateja wanapata na pesa wanawapiga.
 
Pengine hawajatafutwa rasmi
 
Mshana nakunaliana na wewe. Lakini kazi hii huanza kuingia dosari hasa wahusika wanapoanza kuwa wengi.

Uwingi wao hufanya mambo kadhaa yaanze kujitokeza(IQ, tabia binafsi,uwezomwa kazi,maslahi kuhusiana na tukio,mikakati ya baadaye nk).
Kwa namna hiyonkukaa na mateka muda kunaongeza risk zaidi.

iAdios!
 
But this one is above level....very next level ....! Time will tell .....shida mtoto anapenda sana kick bila tafakuri.....si kila kichaka ni cha kuvamia
 
Nahisi kama inaweza ikawa mwanzo wa kufanya kitabu fulani kisisomwe tena na watu kuanza kutafuta kitabu kipya ambacho kurasa zake zote bado hazijachafuliwa.

Simply,the beginning of a New Story
 
Back
Top Bottom