Ilivyo ngumu kumlinda mateka!

nnachoshangaa siku nne kupita ndo wanatangaza dau nene hivo ni kwamba watekaji wasalitiane au?
maana kwa utekaji si sawa na kupotea!
Walikuwa wanasikilizia kwanza... Kama nia ilikuwa kudai kikomboleo basi hilo lingefanyika ndani ya saa 72 tangu tukio.... Sasa familia ikiona kimya inaamua kuchokoza mada
 
as I was reading, kuna mambo flani nilikua nayafikiria nikajikuta napata maswali ya kjinga. hivi thread kama hii si jamaa waisome wajue mambo yanavyofanywaga?😂😂
 
Mshana Jr Duuhhhh Upo vizuri Mkuuu...vipi ile stor za wachina hapa daresalama na biashara yao haramu uliikatisha ghafla kwa nini Mkuuuu???
 
Mkuu intake ya wanafunzi wapya itakuwa lini tuje utujuze mambo ya usalama wa familia na wapendwa wetu?Kwenye haya mambo wewe Mshana uko vizuri,ulienda kule nanii kule..........au umejifunza kutoka kwenye movies za investigation na crime scene?Tusaidie basi ikitokea umetekwa waweza fanya nini kujikomboa au kusaidia upatikanaji wako?Yule alidondosha funguo za gari lakini yamkini waliokuwepo hawakuelewa au the other way round.
 
as I was reading, kuna mambo flani nilikua nayafikiria nikajikuta napata maswali ya kjinga. hivi thread kama hii si jamaa waisome wajue mambo yanavyofanywaga?[emoji23][emoji23]
[emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
N Niliusoma huu Uzi kikore !! Inauma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…