Ilivyo ngumu kuvunja maagano na viapo katika koo na familia

Kuna familia zimefungamanishwa kwenye kifurushi kimoja cha matatizo kisha wakanenewa.. Hapo akianza mmoja atawaambukiza wengine wote
Na kadiri hiyo misumari inavyozidi kushika kutu ndio wanavyozidi kuharibikiwa
 
Kama kuna maagano yalifanyika na kupelekea baadhi ya vitu kwenye maisha kuwa vigumu kupatikana nini kifanyike ili mambo yawe sawa?
 
Akiwazacho mjinga mara nyingi humpata.Kusingizia ushirikina ni kufeli katika safari ya kutatua changamoto za maisha.
 
Anza kuvuta bangi, huu ujinga wote wa laana na upupu wake wote unayayayuka
 
Nilibahatika kukaa na wazee hasa nyakati za jioni tukiwa tunakunywa pombe zetu za asili,,,,
Wazee ni hazina ...waliniambia kisa na maaana kwa nini ni marufuku kuoa ukoo fulani na kuweka bayana sababu.

Yupo mzee mwingine alitoa tamko kwamba kwa uzao wake mwanaume akioa mwanamke ambaye alishawahi kulala kwa mwanaume ndoa haitafika mbali n.k wa kadha.
 
Kama kuna maagano yalifanyika na kupelekea baadhi ya vitu kwenye maisha kuwa vigumu kupatikana nini kifanyike ili mambo yawe sawa?
Kuyamaliza moja kwa moja ni ngumu labda uwe unazijua password zake.. Otherwise kuna mambo ya kimila hufanyika kuzipoza
 
Kuna familia zina laana ya asili | Page 3 | JamiiForums Kuna familia zina laana ya asili
 
Hivi hizi blue tik zinapatikana vipi lam confuse... tatizo la watz siyo laana ni AKILI...KUNA KITU KINAITWA 👉 UANITHI WA AKILI...hata Rais tuliye naye sasa tatizo lake ni hili.
 
Ungeanza na wewe kwani wapare wanaamini kwamba ukioa washana basi utaandamwa na laana na mikosi maisha yako yote.Washana huwa wanaolewa na washana wenzao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…