Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Waamuzi 15:4 Samsoni akaenda akakamata mbweha mia tatu; kisha akatwaa vienge vya moto akawafunga mbweha mkia kwa mkia, akatia kienge kati ya kila mikia miwili.
5 Alipokwisha kuviwasha moto vile vienge, akawaachia mbweha kati ya ngano ya Wafilisti, akayateketeza matita, na ngano, hata na mashamba ya mizeituni.
Nikweli Samsoni alikuwa mnadhiri wa Mungu kama maandiko yasemavyo.Samsoni kaandikwa kwa mengi sana kuhusiana na nguvu zake ikiwa pamoja na kuwapiga wafilisiti 1000 kwa kutumia taya la punda tu(hapa napo kuna swali ila napaacha) ukiachana na lile tukio lake la mwisho la kuua wafilisti wengi zaidi.
Swali hawa mbweha kwanza aliwakamata vipi akawarundika hadi wakatimia 300 kisha akakusanya nyasi na kufunga vienge mikiani mwao wawili wawili wengine wametulia tu hadi anatimiza adhma yake?
Au zamani mbweha walikuwa wanafugwa?