Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Wewe ndiyo unajaribu kutetea uharo!Mwa 32:24
[24] Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri.
Nimekusaidia kuweka mstari unaoeleza Yakobo alishindana na Mungu au mtu.
Kwa kukusaidia tu....
Biblia haipo sawa na kile kitabu cha mnyazi mungu so usiitafsiri aya moja katika Biblia kama una tafsiri kitabu cha mnyazi mungu
Hapo kamuona mtu alikuwa hamjui, aya za mbele ndipo anajua kuwa kamlima mweleka Mungu ndio maana kaomba baraka!