Iliwezekanaje safina ya Nuhu kubeba aina 7.7 million za wanyama?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Wasalaam.
Dhumuni la uzi huu ni kutaka kujua iliwezekanaje safina ambayo ina urefu wa futi 500 waweze kuingia wanyama wote hao? Tena na chakula chao?

Naamini jukwaani hapa kuna wajuzi wengi tutasaidiana kujadiliana.

Screenshot_20220116-181854_Photos.jpg
 
Kisayansi...haiwezekani....
Ila kwa MUNGU Hata vilivyobebwa ni vidogo...ingeweza kubeba inavyotaka MUNGU..sio mtu...nenda kasome story ya LWANDA MAGERE..jinsi alivyoweka lita 3000 kwenye kibuyu cha kubeba mkononi....shida yetu technologia yetu ipo low sana
 
Dah hiyoo itakua nzuri
 
Wasalaam.
Dhumuni la uzi huu ni kutaka kujua iliwezekanaje safina ambayo ina urefu wa futi 500 waweze kuingia wanyama wote hao? Tena na chakula chao?

Naamini jukwaani hapa kuna wajuzi wengi tutasaidiana kujadiliana.

View attachment 2084003
Mbona hilo dogo tu, jiulize mtu aliekufa kwa siku tatu alifufukaje? Wakati damu, moyo n.k vilisimama!

Ya kaisari unamwachia kaisari, ya Mungu yanafanyika kwa uweza wa Mungu
 
Wasalaam.
Dhumuni la uzi huu ni kutaka kujua iliwezekanaje safina ambayo ina urefu wa futi 500 waweze kuingia wanyama wote hao? Tena na chakula chao?

Naamini jukwaani hapa kuna wajuzi wengi tutasaidiana kujadiliana.

View attachment 2084003
Iliwezekana mbona,Kwani SI units ulzotumia zina umri gani?Au unafikiri kwamba haiwezekani.Inawezekana hasa ukizingatia kwamba hakuwa na haja ya kuokoa aquatic species ambazo ni zaidi ya 50% ya hio namba.Uliza lingine
 
Back
Top Bottom