Iliwezekanaje safina ya Nuhu kubeba aina 7.7 million za wanyama?

Iliwezekanaje safina ya Nuhu kubeba aina 7.7 million za wanyama?

Aliweka wanyama wote duniani au baadhi ya wanyama?,(sehemu waliyopo wao) kwani yale mafuriko yalikuwa ni dunia nzima? mungu si ameandika kuwa adhabu inawapata wahusika tu, mfano kipindi cha sodoma na gomora ukisoma historia kulikuwa na mji mwingine, wakati nabii lut yupo nabii ibrahim alikuwepo, walikuwa miji tofauti. Adhabu iliwakuta watu wa lut tu, mji wa ibrahim haukudhulika

Hivyo naimani adhabu ilikuwa sehemu ndogo ya dunia(mji aliokuwepo nuhu tu) so inawezekana kukusanya hao wanyama.
Pasingekuwa na sababu ya kutunza mbegu kama lengo si kuangamiza dunia nzima. Hata kwa lutu hakutoka na kondoo wala punda kwa ajiri ya kuendeleza kizazi cha wanyama. Pia maji hayawezi tengeneza mrima. Mfano mlima wa urefu wa mita 2000 toka usawa wa bahari ufunikwe wakati mji kama dar wanakula tu bata hawana habari na wapo bara moja.
 
Huo ushadi ulioleta kwenye picha umetoka kitabu gani? Umeuliza swali nje ya vitabu ila unataka majibu ya ndani ya vitabu.
 
Back
Top Bottom