Hii nadhani ni point ambayo watu hatupendi kuijadili lakini ndo ina majibu yote.
Hii ya gharika kuwa sehemu hiyo pekee na sio dunia yote sio kweli. Moja hakukuwa na haja ya Safina. Mungu angemwambia tu Nuhu, hama nenda eneo fulani. Lakini pia ukisoma habari nzima utaona hii kitu haiwezekani:
Genesis 6:17 And, behold, I, even I, do bring a flood of waters
upon the earth, to destroy all flesh, wherein is the breath of life, from under heaven; and
every thing that is in the earth shall die.
Kila kitu kilichoko duniani kitakufa. Kwa maana hiyo hata kama kulikuwa na panya kwenye other side, ni kitu chenye uhai. Ili angalau hii hoja iwe na mantiki inabidi udhanie kuwa hakukuwa na kiumbe hai chochote kwenye sehemu nyingine za uso wa dunia. Maana hata kama kulikuwa na mjusi, gharika ilipaswa kuuangamiza. Hiyo ni hoja ya kwanza. Gharika ilikuwa ni lazima iwe dunia nzima!
Genesis 7:11 In the six hundredth year of Noah's life, in the second month, the seventeenth day of the month, the same day were
all the fountains of the great deep broken up, and the windows of heaven were opened.
Wengi hudhani maji ya gharika mengi yalitoka juu. Ila ukweli ni kwamba reservoir ya maji chini ya dunia ndio ilileta gharika. Kupasuka kwa ardhi lazima kuliambatana na volcanic activitie na Tsunamis. Nadhani kwa waliofutilia ka volcano ka juzi kati Tonga wanaelewa ninachomaanisha. Na kwa sababa vilindi vikuu
vyote vilipasuka, maana yake Tsunami kwenye bahari jumlisha maji kutoka nchi kavu kwenye vilindi chini na volcanic activities lazima dunia yote ilikuwa chaotic
Lakini mwisho kabisa, kuizika hii hoja:
Genesis 7:17 -19
" And the flood was forty days upon the earth; and the waters increased, and bare up the ark,
and it was lift up above the earth. And the waters prevailed, and were increased greatly upon the earth; and the ark went upon the face of the waters. And the waters prevailed exceedingly upon the earth;
and all the high hills, that were under the whole heaven, were covered"
All hills under the
whole heaven were covered. That kills the whole deal. It had to be global deluge for ALL hills under the heaven to be under the water and for the ark to be lifted above the earth!
Kwa hiyo ni hoja inayoonekana kama ina mantiki, ila ukiiangalia kwa undani haina mantiki yoyote!