Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Hujui wewe,ugomvi wa mawe hauna BaunsaKwa uweo wa mungu Goliath alipigwa na dogo ila ki uhalisia dogo angekunya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui wewe,ugomvi wa mawe hauna BaunsaKwa uweo wa mungu Goliath alipigwa na dogo ila ki uhalisia dogo angekunya
Kwa kutumia kitu gani?, Maana hata iron age ilikua haijaanza?, Kipindi hicho ni stone ageMbona dimensions zake zipo kwenye biblia jamani....alafu ujue alitengeneza kwa miaka 40
Ukubwa wa aircraft carrier,,,, ndogo sana haitoshiUrefu aproximately 300metres upana 50 metres na ilikuwa ghora tatu ambayo floor moja approximate ni metre 7 kwa urefu.
Mwanzo 6 kuanzia mstari wa 15
Kunakuwa na stone tabletUmesoma hizo ngano za Gilgamesh au ndio yale ya kuhadithiwa na Google? Ungekuwa umeisoma usingeandika huu ujinga.
Unfortunately wengi mnanakili kwenye net bila critical thinking
Haitoshi kivipi kwani inabeba madegeUkubwa wa aircraft carrier,,,, ndogo sana haitoshi
Mafuriko yalitokea kweli, mesopotamia, lakini yakapewa spritual concept miaka ya mbele na waandishi na mafarisayoKwa hiyo hii ni hadithi ya uwongo?
Carrier haiwezi beba ndege zaidi ya 300,kuna malaki ya species, zikiwemo wanyama wadudu, samaki, ndege etcHaitoshi kivipi kwani inabeba madege
Sasa sii imebebwa pair tuuCarrier haiwezi beba ndege zaidi ya 300,kuna malaki ya species, zikiwemo wanyama wadudu, samaki, ndege etc
Wasalaam.
Dhumuni la uzi huu ni kutaka kujua iliwezekanaje safina ambayo ina urefu wa futi 500 waweze kuingia wanyama wote hao? Tena na chakula chao?
Naamini jukwaani hapa kuna wajuzi wengi tutasaidiana kujadiliana.
View attachment 2084003
🤔Hata bacteria clostridium botulinum Noah alimbeba? [emoji23][emoji23][emoji23]
Aliweka wanyama wote duniani au baadhi ya wanyama?,(sehemu waliyopo wao) kwani yale mafuriko yalikuwa ni dunia nzima? mungu si ameandika kuwa adhabu inawapata wahusika tu, mfano kipindi cha sodoma na gomora ukisoma historia kulikuwa na mji mwingine, wakati nabii lut yupo nabii ibrahim alikuwepo, walikuwa miji tofauti. Adhabu iliwakuta watu wa lut tu, mji wa ibrahim haukudhulikaQueen mary II inabeba watu 4309, lakini umejiuliza hao watu wamekaa kwa mpangilio gani? Space kiasi gani inabaki? Kuna vip humo, kuna nafasi ukumbi wa sijui nini na mazaga zaga kibao, ila mkiambiwa mshonane naimani mile zaidi ya watu laki wanakaa. Je kwa nuhu wanyama ilikuwaje, walishonana au waliwekwa kivip? Hilo moja pili, mnyama si sawa na mwanadamu, nafasi anayochukua njiwa au kunguru ni sawa na ya BIG SHOW?[emoji23]
Kuna jambo hapa inabidi wasomi wa dini watuweke sawa, je mafuriko ya nuhu yalipiga dunia nzima au pale pale walipokuwa wanaishi kina nuhu, kama ni pale pale inawezekana, sababu sio wanyama wote duniani kupatikana eneo moja, kuna viumbe, huenda alipakia wanyama wa eneo husika tu.? Hapo watusaidie tunaweza pata muafaka wa hili.
😂😂😂nenda kasome story ya LWANDA MAGERE..jinsi alivyoweka lita 3000 kwenye kibuyu cha kubeba mkononi....shida yetu technologia yetu ipo low sana
Wanasayansi washasema, hakukua na exodus from egypt,,, wanetafuta jangwani pote kupata mabaki ya wsyahudi, maana wote waliotoka misri, walikufa kasoro haroun na watu wawili watatu, hakuna mabaki wala vyungu, wala nini,,,Kuna vitu vingi sana vya kiimani ukivichunguza kisayansi vinakataa; mfano, how comes BIKIRA achukue mimba bila kuondoa kwanza BIKIRA yake? Scintifically is impossible but was possible Kimungu; Kisayansi who can explan why mwaka uwe na siku 365.25?? why those 0.25? Wasomei wa Biblia wanajua sababu; Kisayansi iliwezekanaje wana wa Israel wapite katikati ya bahari na maji yasiwadhuru? Anyway, kuna mdau mmoja nimeona ka comment hapo juu kwamba, wana wa Israel walisafiri umbali wa sehemu ya mwezi 1 na wao wakatumia miaka 40; that is very true but pia swali lingene lingekua, hivi wazazi/mababu wa hao jamaa kwani walifikaje pale Misri bila kuptia baharini? Na mbona walitumia muda mfupi sana kwenda na kurudi Misri? Why watoto wao wakatumia miaka badala ya siku kadhaa? Again, kwenye hiyo hiyo SAFINA ya Nuhu, is like alitumia miaka 120 kuitengeneza, why muda mrefu namna hiyo? Yote haya sio kwamba hayana majibu but may be hayajibiki Kisayansi, wenye IMANI zao wana majibu hata sasa