Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] kwelighafla nimekumbuka 80's tukiwa watoto tunaambiana kwa Mungu sisi wote tunaonekana kama sisimizi
Dah hiyoo itakua nzuriKisayansi...haiwezekani....
Ila kwa MUNGU Hata vilivyobebwa ni vidogo...ingeweza kubeba inavyotaka MUNGU..sio mtu...nenda kasome story ya LWANDA MAGERE..jinsi alivyoweka lita 3000 kwenye kibuyu cha kubeba mkononi....shida yetu technologia yetu ipo low sana
Mbona hilo dogo tu, jiulize mtu aliekufa kwa siku tatu alifufukaje? Wakati damu, moyo n.k vilisimama!Wasalaam.
Dhumuni la uzi huu ni kutaka kujua iliwezekanaje safina ambayo ina urefu wa futi 500 waweze kuingia wanyama wote hao? Tena na chakula chao?
Naamini jukwaani hapa kuna wajuzi wengi tutasaidiana kujadiliana.
View attachment 2084003
Iliwezekana mbona,Kwani SI units ulzotumia zina umri gani?Au unafikiri kwamba haiwezekani.Inawezekana hasa ukizingatia kwamba hakuwa na haja ya kuokoa aquatic species ambazo ni zaidi ya 50% ya hio namba.Uliza lingineWasalaam.
Dhumuni la uzi huu ni kutaka kujua iliwezekanaje safina ambayo ina urefu wa futi 500 waweze kuingia wanyama wote hao? Tena na chakula chao?
Naamini jukwaani hapa kuna wajuzi wengi tutasaidiana kujadiliana.
View attachment 2084003
Kwani ni mnyama mwenye miguu mingapi?Hata bacteria clostridium botulinum Noah alimbeba? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini leo samaki hawamezi watu kwa siku tatu na kwenda kuwatapika?Mbona hilo dogo tu, jiulize mtu aliekufa kwa siku tatu alifufukaje? Wakati damu, moyo n.k vilisimama!
Ya kaisari unamwachia kaisari, ya Mungu yanafanyika kwa uweza wa Mungu